Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
@Pep [emoji849][emoji848]Shemeji yako
@Pep [emoji849][emoji848]Shemeji yako
Hahah kuna muda inanitoa mwembamba muda mwingine ndio kama hivo!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣!! mie mwembamba tu best hii camera inaniongezea tu!Hiyo camera yako utuelekeze na sisi flat screen tukanunue[emoji2][emoji2]
Anha okay ila bado shape ipo pale .Hahah kuna muda inanitoa mwembamba muda mwingine ndio kama hivo!!
Ebu nione flat yako 🔋🔋Hiyo camera yako utuelekeze na sisi flat screen tukanunue[emoji2][emoji2]
Huyohuyo@Pep [emoji849][emoji848]
Hahaha kweli aisee Mimi wangu bado mdgo bado ananitegemea kwa 100% Kama heslb wake kauli mbiu yangu speed mwisho 140sema mie uendeshaji wangu.. Fortnox wa hovyo.. maana watoto wangu wote wakubwa wanajimudu.. inabidi Joy akufarahi sana baba yake kwanza.. [emoji16][emoji16][emoji16]mie watoto wangu hawana time na mie
Hakuna kapicha uvopungua nione!!??Anha okay ila bado shape ipo pale .
Mimi napungua siku hizi hata suruali sipendi kuvaa tena maana zimekuwa bwanga tena .
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!! mie mwembamba tu best hii camera inaniongezea tu!
😀😀😀😀 mie karibuni nianze kupata wajukuuu.. 140 nahisi kama siendeshi gari kama inatambaaa.. naanzaga kuona gari inakimbia ikifikia 210kmh.. uzuri gari zetu hizi kadri unavyo sukuma kisahani inazidi kutulia malaa paap 260 kmh.. ndio maana Tyre zangu huwa zinaishia kuchanikaHahaha kweli aisee Mimi wangu bado mdgo bado ananitegemea kwa 100% Kama heslb wake kauli mbiu yangu speed mwisho 140
Ebu nione flat yako [emoji367][emoji367]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] unatumia Dunlop au bf goodrich[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mie karibuni nianze kupata wajukuuu.. 140 nahisi kama siendeshi gari kama inatambaaa.. naanzaga kuona gari inakimbia ikifikia 210kmh.. uzuri gari zetu hizi kadri unavyo sukuma kisahani inazidi kutulia malaa paap 260 kmh.. ndio maana Tyre zangu huwa zinaishia kuchanika
Na wewe unataka kufanyiwa scrub?Wa moro
Imekula kwake[emoji848]
usifanye hivyo.. kidogo tu nione alafu futa.. wengine hatupendi manyama manyama hayoo.. hata nguruwe anayo 😂😂😂😂Sikushauri kwakweli [emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo hivyo sasa shouzzzzzzzz.hahahaaa...huwa wanapenda yanavobounce back tu labda hakuna hata cha maana!![emoji12][emoji2216][emoji2216][emoji2216][emoji2216]
Hizi juzi nimechana zilikuwa Dunlop.. 😀😀😀.. Bridgestone zenyewe nilishawai chana, hizi Triangle ndio usiseme.. huwa kuna mikeka yangu ambayo naweza maintain 200 au zaidi ya hapo kwa mda mrefu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] unatumia Dunlop au bf goodrich
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sitaki tumbo tyuuh.Hahahaha , kumbe wataka ujazie kote ..
Ukiwa hivyo hadi raha , unapata hadi mguu wa kuvalia kimini .
SijuiNa wewe unataka kufanyiwa scrub?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli shouzzzzzzzz wee acha tyuuh.Hiyo inaumiza na haifai kumwambia mtu hivyo ..
Wewe ni mzuri bhana hata kama shape haipo .