Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,555
Labda ungekua na kabinti ukaniozesha.. Technically ukawa umepata..nigee mbegu
Labda ungekua na kabinti ukaniozesha.. Technically ukawa umepata..nigee mbegu
No sina pacha.. au nimeelewa vbayaWewe uko twice.
Basi nimekufananisha picha yako ya kichwa unafanana sana na watoto wa Sister wako pacha.No sina pacha.. au nimeelewa vbaya
Ila mm inawezekana ni moja kati ya binaadamu nayefananishwa sana..😂😂Basi nimekufananisha picha yako ya kichwa unafanana sana na watoto wa Sister wako pacha.
Sikuwahi kucomment kwenye huu uzi ila nimefarijika kuona "black beauty" miguu na paja la haja safi sana
Tupia basi nazipenda ila me kichwani kwangu sizitakiThanks. Nataka nitupiepo dreads
Ilibaki sekunde nitaje jina lake nikakumbuka sheria za Jf,Ila mm inawezekana ni moja kati ya binaadamu nayefananishwa sana..😂😂
Ukaazima na mdada wa kupigia picha. Na pose ukampa ' eti wape mgongoFrom west wit LuvView attachment 1248003
Ungepokea ban ya siku 3Ilibaki sekunde nitaje jina lake nikakumbuka sheria za Jf,
Hii chura ni kwikwi, umebarikiwa mremboFrom west wit LuvView attachment 1248003
Sema kanisani na jamii wananifanya nisitishe hii adhma yanguTupia basi nazipenda ila me kichwani kwangu sizitaki
Tutakao anza naoWhich month??
😀😀😀😀 Mm natamani ningekua pacha sana afu niwe dotoIlibaki sekunde nitaje jina lake nikakumbuka sheria za Jf,
I'd ya kiume me naona 💃Hii chura ni kwikwi, umebarikiwa mrembo
Halafu nahisi humu hakosi yupo ningekimbia Jf kwa mda mbaya sana kuwa na mtoto wako sehemu kama hii😁😁😁Ungepokea ban ya siku 3
Inategemea na kanisa.Sema kanisani na jamii wananifanya nisitishe hii adhma yangu
Huyo niliyekufananisha nae na mwenzie wamefanana mno kiasi sijui nani doto nani kulwa.😀😀😀😀 Mm natamani ningekua pacha sana afu niwe doto
I'd ya kiume anaweka wowo😁😁😁I'd ya kiume me naona 💃