Unapenda kuwa na Dreadlocks ?
Haloo ni huyo wewe kabisa.!!
Weka mama weekI'll but sio leo my dear. Picha yako mbona sijaiona mpenzi.




.Si haba na wewe
Ahsante, siku ukianzisha uzi kuhusu kuonesha lips na urembo wa kucha usisahau kunitag.
Simply beautiful....



Woyooo.weka full sasa
![]()
UNA TABASAMU ZURI SANA. HONGERA
Usijali chapombeAfadhali umekua mdada wa kwanza ku comment picha za huyo dada
Akiweka full unishtue
Zangu haziangaliki dearNdio uweke nikuone sasa maana siku unaweka sikuwepo mpenzi.



.


Usijali chapombe
Ukiacha nitakupa zawadiNimeachaa siku hizi nakunywa juice tu
sawa.Nilitaka kuaminisha watu tu kuwa kuna wadada wazuri na wenye maisha na kazi nzuri pia humu JF![]()
Ukiacha nitakupa zawadi
EwaaaaAu siyo??
Afadhali umekua mdada wa kwanza ku comment picha za huyo dada
Akiweka full unishtue