Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,295
Kabisa...tena imenonaa
Ni mpesa??
Ni mpesa??
Ukweli muhimu kusemwa mamy
Ng'ombe hazeeki maini omba match
Kwanini utuseme troublemaker? Mimi nashukuru tu nimekula maana mchana hata sijui nilipitaje bilabila!!Kuna watu hapa nahisi hata mambo mengine yamesimama maana kila nikizunguka nikirudi wapo tu kwenye huu uzi.
tuwaambie wanaume wetu waende tu gym hakuna namna..Wagonjwa tuko wengi
Umetutega? [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Mtoto mzuri upoNikiwa mkubwa nataka kuwa kama mchawi Mshana
Watafute hela kwanza kwakwelituwaambie wanaume wetu waende tu gym hakuna namna..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hata
Hivii Kaka Pulisic CFC ulisema nikubali hela za watu nisiowajua??Kabisa...tena imenonaa
Enheee walau sasa namzidi karangi
Mengine sisemi maana nina hasira bora nije pmView attachment 1221964
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Vibonge nawasalimuView attachment 1221893
Nipo mimi jamaniMtoto mzuri upo
Basi usilie sana. Kwa heshima yako blaza.
Hubby akiniona huku sina ndoa,jiandae kunisitiri we mlozi.
NB:Na hiyo mkagoogle basi[emoji847][emoji847]View attachment 1222026
Unamaanisha moto ni ule ule 'pesa mbele'..??Watafute hela kwanza kwakweli
Sasa guu kama hili litakosaje shape?
Unamaanisha moto ni ule ule 'pesa mbele'..??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yo damn right...