Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna mtoto wa mtu alinifungia akanipiga stop na simu akaninyang'anya kabisaaa nikashindwa hata kuingia selfika
Yaani hadi nilihisi homa kuwamiss humu ndani
Ehh sio mbaya , kufungiwa hivyo kuna raha yake
Nilikumiss pia rafiki .
 
Hahahaaa....wauweeeee!!! Hapo ni pa kuringa kabisa shos....... Imagine mtu abarikiwe kukutaja kabisa dahhhh....
shouzzzzzzzz wee mie sisemi sana, labda aje yeye Mr vocha aongezee maelezo kwa urefu zaidi. Uwiiiiih
 
Back
Top Bottom