cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,161
- 181,290
Shouzzzzzzzz bas mie nimeacha, mnisamehe mie uwiiiiihkweli life kabisa Sio jina zuri kabisa llimekaa kipigaji pigaji sana!





Shouzzzzzzzz bas mie nimeacha, mnisamehe mie uwiiiiihkweli life kabisa Sio jina zuri kabisa llimekaa kipigaji pigaji sana!





Unafaa basi tu sijabarikiwa nalo kabisa!!Kwani mimi sistahili kua au kuonekana mpigaji boss lady?
Dah......Ooh vyema ..
Leo sura haioneshi ushirikiano best
Fanya hivo tufurahie lips na shingo matata sie
Labda nitafute picha ya muda dear
Unafaa basi tu sijabarikiwa nalo kabisa!!
Kwamba nawewe unaomba vocha Eng???





mtafutie jina bas nawee shouzzzzzzzz lolImagine.. eti mjep nae atupige vocha!! Haiji kabisa!!
Abaki na hilohilo tulilolizoea bana abadili ili iweje lakini!! Afu tatizo akibalidi tutakosa vocha sie shos asitufanyie hivo!mtafutie jina bas nawee shouzzzzzzzz lol
Abaki na hilohilo tulilolizoea bana abadili ili iweje lakini!! Afu tatizo akibalidi tutakosa vocha sie shos asitufanyie hivo!





bas sawaaah.Hakika nina mpango wa kuomba hapaUnafaa basi tu sijabarikiwa nalo kabisa!!
Kwamba nawewe unaomba vocha Eng???
Afadhali
Labda nitafute picha ya muda dear
Hatari tunapepea tu above the laws![]()




nimecheka mnooo. Hakika nina mpango wa kuomba hapa
Unajua na mimi ni jobless ila ni jobless mzoefu tyuu










Thank youDah......
Pole best
Leo kumbe sina bahati
Take your time boss ile nuru ikirejea usisahau kuselfika boss
Nina mpango shouzzy usije ukanitosa tyuuuu ukiona ombi langu😜
Aisee... kumbe ma jobless tupo Wengi aisee!!Hakika nina mpango wa kuomba hapa
Unajua na mimi ni jobless ila ni jobless mzoefu tyuu