Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
HahaHivyo hivyo yaan. [emoji23][emoji23][emoji23]
Vipi upo poa ?
HahaHivyo hivyo yaan. [emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisa arudie..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee Wigelekelo hebu rudia shouzzzzzzzz aone.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan hujaona hapo juu kasema ataweka vocha?Mr vocha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]! hilo jina khah!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa arudie..
Mie niko poaaah.Haha
Vipi upo poa ?
Ahaa kumbe!!! Abarikiwe sana kwakweli!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan hujaona hapo juu kasema ataweka vocha?
Kwa kweli abarikiwe mnooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ahaa kumbe!!! Abarikiwe sana kwakweli!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie mie leo ntakufa kwa kucheka, akuuuuh sitaki khaah.
Mnataka nibadili user name nyie 😅😅Mr vocha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣! hilo jina khah!!
yaniiii mie mwenyewe hilo jina la Mr vocha sikubaliani nalo kabisa. Hapana usibadili mkuu baki na hiohio id!Mnataka nibadili user name nyie 😅😅
Ahsante best 😘Ehh sio mbaya , kufungiwa hivyo kuna raha yake
Nilikumiss pia rafiki .
Boss lady kakataa mimi nani nibishe?yaniiii mie mwenyewe hilo jina la Mr vocha sikubaliani nalo kabisa. Hapana usibadili mkuu baki na hiohio id!
Ooh vyema ..Ahsante best [emoji8]
Usisahau kuselfika leo tupate kutabasam na zile lips matata kabisaaa
lips pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!! Bila kusahau shingo nzuriiii!!!Ooh vyema ..
Leo sura haioneshi ushirikiano best
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli hata mie naona.Ucheke tyuuuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna namna
Life is too short
Enjoy!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan leo nacheka hapa km chizi.yaniiii mie mwenyewe hilo jina la Mr vocha sikubaliani nalo kabisa. Hapana usibadili mkuu baki na hiohio id!
Kwani mimi sistahili kua au kuonekana mpigaji boss lady?kweli life kabisa Sio jina zuri kabisa llimekaa kipigaji pigaji sana!
[emoji7]lips pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!! Bila kusahau shingo nzuriiii!!!