Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna mtoto wa mtu alinifungia akanipiga stop na simu akaninyang'anya kabisaaa nikashindwa hata kuingia selfika
Yaani hadi nilihisi homa kuwamiss humu ndani
Safi sana ...na Inapendeza sana......!!! Huyo mshike usimuachie kabisa eng anaonekana mambo anayaweza!! Hadi kutusahau selfika sio mchezo!✌️✌️✌️😜
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eeeeh ndyo niko salama kabisaa kwa matumizi ya binadamu,
Shouzzzzzzzz mie sitaki ujue, nacheka km chizi hapa lol.
cheka utanue mapafu shos maisha ndio hayahaya!!😘😘😘
 
Safi sana ...na Inapendeza sana......!!! Huyo mshike usimuachie kabisa eng anaonekana mambo anayaweza!! Hadi kutusahau selfika sio mchezo![emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie, uwiiiiiih
 
Back
Top Bottom