Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,831
Mi najua basi? Hapa tunachit chat tu bana!Afu mie mbna sie wa Namtumbo? Mie Songea 1 hiyooo. [emoji23][emoji23][emoji23]
Mi najua basi? Hapa tunachit chat tu bana!Afu mie mbna sie wa Namtumbo? Mie Songea 1 hiyooo. [emoji23][emoji23][emoji23]
Utaniletea chakula kitamu nipendecho.. uzuri chakula cha kwanza ni...... cha pili unachopika.. tupo na ile dhamira yetu ya kutokomeza ufukara genius wangu💪💪
Nilijaribu kuja PM kwako nikakuta kumefungwa. Sasa mi nifanyeje?Shimba Ya Buyenze wee babuu una tabia mbaya lakini.
Mbna huweki selfie yako na uliniahidi mmmh.
Wewe hauna usingizi bado ?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan uwiiiih
Sina kabisa yaani [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Wewe hauna usingizi bado ?
Kesho inshaalah shamba lala mapema 😬Utaniletea chakula kitamu nipendecho.. uzuri chakula cha kwanza ni...... cha pili unachopika.. tupo na ile dhamira yetu ya kutokomeza ufukara genius wangu💪💪
Unikumbuke kwenye dua.. maana maisha yetu ni Dua.. Acha leo nikuote net yangu.. 🥰.. sasa nizime kiswaswadu changuKesho inshaalah shamba lala mapema 😬
Ooh okaySina kabisa yaani [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Utanikuta tu boss, nagonga deiwaka yanguHeaven Sent una nini lakini.. mbona wanikodolea macho tu.. na kesho naja hapo.. unitanie tena
Usijar babuuuuh [emoji23][emoji23][emoji23]Mi najua basi? Hapa tunachit chat tu bana!
Wee mie PM yangu iko wazi. Hebu fanya maajabu bas lol.Nilijaribu kuja PM kwako nikakuta kumefungwa. Sasa mi nifanyeje?
Badooo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe hauna usingizi bado ?
Anha okayBadooo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi sitaki kuamini mtoto mzuri kama wewe upo singo, kwanza uko wapi?Ooh okay
[emoji8][emoji8][emoji8]Anha okay
Tupo mkuu, nipo najiandaa hapa kuruka na ungo.Wana selfika
Mpoo?
Usisahau kuselfika na huo ungoTupo mkuu, nipo najiandaa hapa kuruka na ungo.
Poa mkuu.Usisahau kuselfika na huo ungo