Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20220327_193352.jpg
 
Exactly na ndicho ninachowashangaa hawa wanaume wa kiafrika! Huwa wanaassume kwamba mwanamke ukifika umri fulani hujaolewa basi utakuwa na mkosi na utakuwa malaya tu hivyo hata pale makao makuu mlango utakuwa umeongezeka ukubwa!
Mbona umeng'ang'ania sana hapo

Makao makuu[emoji848]

Jana ulisema mileage kusoma sana

Leo tena lango kutanuka[emoji849]

Ipo hivi maumbile ke yapo hivyo kama yalivyo

Hakuna cha goli kuwa wazi ama beki hazikabi

Yote kwa yote naendelea kuwa msomaji

Najifunza[emoji1787]
 
Back
Top Bottom