Mara ya mwisho kutongoza sijui ilikua 2014 ile kama sikosei,Haimaanishi sijawahi kuwa na mpenzi tangu huko, ila nilikuja gundua Kupitia "urafiki" kila kitu hupatikana ndani yake.
Mkipendana hamna haja ya kuambiana,inatokea tu mshakua wapenzi,usiku simu kama zote,daytime kujuliana maendeleo ya umeshindaje uko wapi huja Automaticaly.
Yani kuptia urafiki kila kitu hupatkana ndani so once nakuhitaji i dont need to tell you anything,Tutakua marafiki sana tuuu kama ilipangwa automaticaly tu ntaona vitu vinajipa double double,haina kutongozana kbsa..
Naogopa kwanza hivi naanzaje mtongoza
Heaven Sent but haimaanishi kisa simtongzi eti ndio simpendi au simtamani au simtaki,ila siwezi yaniiii basi tu siweziiii Mapenzi ya automaticaly n mazuri kuliko yale ya kuanza kupanga ingiza gia no 1, haya mlima huo weka gia no.2 haya matope hayo ingiza fourwheel,aaaah inaboa na inachosha...
Raha ya Love ujiskie upo duniani ni kufata steps,mapenzi mahusiano n kama kupanda ghorofa ngazi hutakiwi ruka ngazi hata 1 wakati unataka yaanzisha n lazima ngazi zote uguse hadi ufike floor unyoendea.
Heaven Sent nimekutolea mfano maana huwezi nichamba,mama mtumishi hashushui, Kuna mtu ningemtolea mfano ila nmehisi anaeza nijia na kauli ya Lissu kwa mama kuwa Atamke hadharani.
nikahisi namimi ntaaambiwa nitamke hadharani,nikane kuwa si kweli 😂 BUT
Lovelucky wewe ni rafiki wa wote si kweli? basi wakikutongoza wambie wakutongoze hadharani kama faiza foxy alivyowafungulia uzi wote wanaomtongoza😅