Bwana Fulani
JF-Expert Member
- Mar 25, 2019
- 656
- 3,386
Itakuwa raha mustarehe. Ondoa shaka 😂Kwamba itakuwaje ? [emoji28]
Itakuwa raha mustarehe. Ondoa shaka 😂Kwamba itakuwaje ? [emoji28]
Mrejesho utapatikana kwenye uzi wa Rik...Usiache kutupa mrejesho jamani[emoji2][emoji2]
OkItakuwa raha mustarehe. Ondoa shaka [emoji23]
Safi kabisa msituni ni salama zaidi ya huko mijini kwenu.. toeni mashaka 😀😀Naweza hata kulala kwenye msitu [emoji28]View attachment 2166193
Nakuunga mkono UncleSafi kabisa msituni ni salama zaidi ya huko mijini kwenu.. toeni mashaka [emoji3][emoji3]
Mrejesho utapatikana kwenye uzi wa Rik...
Guys hii ni chitchat jamaniKabla hata hajatoka porini[emoji2][emoji2]
Guys hii ni chitchat jamani
Y'all acting weird ,mnaweka mambo hayo ya kimasihara .
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Usiogope tunaiata na bima ya maisha likitokea lolote bima itafanya yake
Mimi na uwoga wangu huu siwezi kuishi mahali hapo hakuna hata jirani 🤔Nuzulati Tinsley Strawbella .. kanyumba ka wageni hako ndio mtapofikia.. baada ya matembeziView attachment 2166192
Kabisa 😀😀Kabla hata hajatoka porini[emoji2][emoji2]
Nuzulati Tinsley Strawbella .. kanyumba ka wageni hako ndio mtapofikia.. baada ya matembeziView attachment 2166192
hapa kuna tembo na ma mnyani na mie 😀😀 njoo bwana tuwinde pamojaHamna simba hapo[emoji2]
si utakuwa na mie 😊😊Mimi na uwoga wangu huu siwezi kuishi mahali hapo hakuna hata jirani 🤔
kwaiyo unakuja au Fortnox akupitie.. weekend moja..[emoji3][emoji3] sawa bwana
Mkuu una shamba nzuri unaliacha liote majani hivyo niazime mimi nije kulima mihogo ☹️hapa kuna tembo na ma mnyani na mie 😀😀 njoo bwana tuwinde pamoja