Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,675
- 39,092
Kwani hata kama ikitokea kuna ubaya 😜
Napenda mazingira hayo , nitakupa mrejesho .
Kwani hata kama ikitokea kuna ubaya 😜
Napenda mazingira hayo , nitakupa mrejesho .
Navyopenda nature bora nijitoe tuUnajitoa muhanga kweli kabisaau unaweza judo?
.Teh teh huyo mpendwa hana hizo usiogope hawezi kufungua uzi anajielewa mno usiogope


Tulikubaliana mie mdogo wako.. na nyie wote dada zangu.. hofu yatoka wapi.. si makosa kaka au mdogo kumla dada 😎😎😬😂😂😂
Najua love❤️Namtania tu![]()
Hahaha tutakuwa wengi pia safari itakuwa ngumu ..hiking si mchezo .Kwani hata kama ikitokea kuna ubaya![]()
Unyama sana..Kijiwe Cha wakali wa draft View attachment 2166170
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sanaTulikubaliana mie mdogo wako.. na nyie wote dada zangu.. hofu yatoka wapi.. si makosa kaka au mdogo kumla dada 😎😎
kha.. basi uje uone hata shamba basi lipo barabarani kabisaa


Kama atafanikiwa kurejea at all 😂Nenda kwanza ukirudi zamu yangu usisahau kuni hadithia ukirejea😅
ila siku nikifanikiwa kitu cha Jf nitafanya sherehe .. nitakodi bango pale Morocco na tundika username na ka picha dunia lazima ijue 😀😀😀😀😀.. au mie tu ndio nakosea isije ikawa watu wanamaliza kimya kimya mie ndio nina failTeh teh huyo mpendwa hana hizo usiogope hawezi kufungua uzi anajielewa mno usiogope
Kwamba itakuwaje ?Kama atafanikiwa kurejea at all![]()

Umesahau kuweka ile 👉 Cc: mahondawTatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana
😀😀😀😀 Usiogope tunaiata na bima ya maisha likitokea lolote bima itafanya yakeUnanipa matumaini kwamba lipo barabarani nione kuna usalama![]()
HayaUsiache kutupa mrejesho jamani![]()
😁😁😁 uzuri wewe muelewa sana..Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana