cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,161
- 181,274
Mbeya roadWee hapa wapi?![]()
Mapenzi ya kweli huja automaticallyMara ya mwisho kutongoza sijui ilikua 2014 ile kama sikosei,Haimaanishi sijawahi kuwa na mpenzi tangu huko, ila nilikuja gundua Kupitia "urafiki" kila kitu hupatikana ndani yake.
Mkipendana hamna haja ya kuambiana,inatokea tu mshakua wapenzi,usiku simu kama zote,daytime kujuliana maendeleo ya umeshindaje uko wapi huja Automaticaly.
Yani kuptia urafiki kila kitu hupatkana ndani so once nakuhitaji i dont need to tell you anything,Tutakua marafiki sana tuuu kama ilipangwa automaticaly tu ntaona vitu vinajipa double double,haina kutongozana kbsa..
Naogopa kwanza hivi naanzaje mtongoza Heaven Sent but haimaanishi kisa simtongzi eti ndio simpendi au simtamani au simtaki,ila siwezi yaniiii basi tu siweziiii Mapenzi ya automaticaly n mazuri kuliko yale ya kuanza kupanga ingiza gia no 1, haya mlima huo weka gia no.2 haya matope hayo ingiza fourwheel,aaaah inaboa na inachosha...
Raha ya Love ujiskie upo duniani ni kufata steps,mapenzi mahusiano n kama kupanda ghorofa ngazi hutakiwi ruka ngazi hata 1 wakati unataka yaanzisha n lazima ngazi zote uguse hadi ufike floor unyoendea.
Heaven Sent nimekutolea mfano maana huwezi nichamba,mama mtumishi hashushui, Kuna mtu ningemtolea mfano ila nmehisi anaeza nijia na kauli ya Lissu kwa mama kuwa Atamke hadharani.
nikahisi namimi ntaaambiwa nitamke hadharani,nikane kuwa si kweliBUT Lovelucky wewe ni rafiki wa wote si kweli? basi wakikutongoza wambie wakutongoze hadharani kama faiza foxy alivyowafungulia uzi wote wanaomtongoza
![]()

Ukiona hutajwi tajwi JamiiForums jua si tu kwamba huna faida hapa duniani bali hata kule Sebuleni Kwake Baba Muumba ( Mungu ) pia hutambuliki na hauna Thamani yoyote.

Kumbe unaenda mbeya?Mbeya road
YesKumbe unaenda mbeya?

Ndo pigo zangukhaaah we.
Haha nafikiri wewe umeongelea mapenzi yale yenye malengo mimi nasemea wale wenzangu na mimi wanaotaka kukulana kimasihara ndiyo huwa najiuliza sasa kila mwanaume ambaye ni rafiki yako ukisema umpe utawapa wangapi? Jamii yenyewe hii ambayo mwanamke akidate na wanaume wawili watatu tu tayari anaitwa malaya unategemea nini hapo?Mara ya mwisho kutongoza sijui ilikua 2014 ile kama sikosei,Haimaanishi sijawahi kuwa na mpenzi tangu huko, ila nilikuja gundua Kupitia "urafiki" kila kitu hupatikana ndani yake.
Mkipendana hamna haja ya kuambiana,inatokea tu mshakua wapenzi,usiku simu kama zote,daytime kujuliana maendeleo ya umeshindaje uko wapi huja Automaticaly.
Yani kuptia urafiki kila kitu hupatkana ndani so once nakuhitaji i dont need to tell you anything,Tutakua marafiki sana tuuu kama ilipangwa automaticaly tu ntaona vitu vinajipa double double,haina kutongozana kbsa..
Naogopa kwanza hivi naanzaje mtongoza Heaven Sent but haimaanishi kisa simtongzi eti ndio simpendi au simtamani au simtaki,ila siwezi yaniiii basi tu siweziiii Mapenzi ya automaticaly n mazuri kuliko yale ya kuanza kupanga ingiza gia no 1, haya mlima huo weka gia no.2 haya matope hayo ingiza fourwheel,aaaah inaboa na inachosha...
Raha ya Love ujiskie upo duniani ni kufata steps,mapenzi mahusiano n kama kupanda ghorofa ngazi hutakiwi ruka ngazi hata 1 wakati unataka yaanzisha n lazima ngazi zote uguse hadi ufike floor unyoendea.
Heaven Sent nimekutolea mfano maana huwezi nichamba,mama mtumishi hashushui, Kuna mtu ningemtolea mfano ila nmehisi anaeza nijia na kauli ya Lissu kwa mama kuwa Atamke hadharani.
nikahisi namimi ntaaambiwa nitamke hadharani,nikane kuwa si kweliBUT Lovelucky wewe ni rafiki wa wote si kweli? basi wakikutongoza wambie wakutongoze hadharani kama faiza foxy alivyowafungulia uzi wote wanaomtongoza
![]()
Kuna mapopoma tunataka kumuona mwamba GENTAMYCINE akiselfika
Unampa tu huyo ambae unaona moyo ni mwepesi kwake we mpe tu kwani sh ngapi?Haha nafikiri wewe umeongelea mapenzi yale yenye malengo mimi nasemea wale wenzangu na mimi wanaotaka kukulana kimasihara ndiyo huwa najiuliza sasa kila mwanaume ambaye ni rafiki yako ukisema umpe utawapa wangapi? Jamii yenyewe hii ambayo mwanamke akidate na wanaume wawili watatu tu tayari anaitwa malaya unategemea nini hapo?
pendeja sanaaaaa,. ila umeikata mnooKwa makusudi kabisa naweka ya Binti AbiudiView attachment 2165957
Hebu kwanza tulione hilo chogoUnampa tu huyo ambae unaona moyo ni mwepesi kwake we mpe tu kwani sh ngapi?
Halafu haendi nayo popote anakuachia ingekua ukimpa hairudishi hpo kweli ungesema utawapa wangapi
halafu kwan privacy siku hizi ni hakuna? who knows umewapa 20 30 au arobaini? we wape tuu kimasihara
kukutana mnakutania location nnje ya dunia,yani dhambi mnaenda fanyia sehemu hata Mungu hawaoni
unaongelea wananchi wa dunia na maneno yao? mimi waongee tu kwanza wataongea nn labda waongelee chogo langu...
Huyo kamanda pep ni nani?Lile gauni lipo kwenye begi alisema na kulivaa ni mpaka awe na mtoko na kamanda Pep. Ila kalipendeza mpaka basi. Huu uvaaji wa ki-Abiudi huu unatunyima kuona neema za Allah sana!
Asante umewasilisha mawazo yanguHebu kwanza tulione hilo chogo

pendeja sanaaaaa,. ila umeikata mnoo