Hapo sasa yaan,Ni kweli sio kwamba hayapo ktk 100% kuna 2% tu,nadhani hao wanaofunga ndoa wametoka kwenye zile 2% sio kwamba hakuna kbsa eti Sifuri hapanaaa, Watu wanapata wenzi wa maisha kwenye uzi wa "kula tunda kimasihara" sembuse huu wa selfika!
kuna sababu nyingi sana kwann ukila unaonjaga na huli kama kina sie Rundo la msosi,
Mzee mwenzangu umetekwa na amapiano sasa😂🤣🤣Amapiano naelewa sana hii versee
maana huwa tuna switch viwanja tu
Oya lagaligila (Fresh!)
Ifungwe counter ifungwe bar (Fresh!)
Si hatulali jama (Fresh!)
Na wakifunga tunahama (Fresh!) (Fresh!)
Oya lagaligila (Fresh!)
Ifungwe counter ifungwe bar (Fresh!)
Si hatulali jama (Fresh!)
Na wakifunga tunahama (Fresh!)
Kila kitu kiwe na kiasi lakini😅Kujitoa wapi mkishakula kimasihara imetoka hiyo mwanzoni lazima tuwanyanyase
Mzee unakula mboga utashiba kweli? Ugali uko wapi sasa
Selfika binti Abiud.
Aah unatoka na kaka angu? Ngoja mimi nikamalizie ibada
Hapana,friends tuAah unatoka na kaka angu? Ngoja mimi nikamalizie ibada
Sawa wifi ake
Muambie wewe!mi nshachoka kusema!!ila najua jf watu wapo wamezaa na kuoana kwa ushahidi wa picha kabisa kuna kapo km sio mwaka wa 16 huu wako ndoani basi wa 15 hao nawajua walintimuia mpk picha zao,acha mahusiano mengine yanayoendelea mpk kuzaa humu yapo pia!Mapenzi ya kweli humu yapo, ni kanuni na misingi na taratibu kuzifuata, kila kitu kitakua sawa.
Watu wanafunga ndoa na kuanza maisha kupitia selfika.
Kwako aseehh!na aina ya magumegume unayoyapataTUCHAT zetu,ukikua utayaona mjukuu wangu Bado asubuhi sanaa
Kwahiyo Genta hatuna thamani😹😹😹Ukiona hutajwi tajwi JamiiForums jua si tu kwamba huna faida hapa duniani bali hata kule Sebuleni Kwake Baba Muumba ( Mungu ) pia hutambuliki na hauna Thamani yoyote.
Lekcha baki main road!!Duh! Pamekucha...
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
mambo gani haya pastor
Mimi naamini mpenzi sahihi ama kinyume chake anapatikana popote...Kasisitiza tuwe makini yupo sahihi lakini nimuambie kwamba umakini unahitajika pia hata nje huko sio JF tu.Kwako aseehh!na aina ya magumegume unayoyapata
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Kabisaaa umemalizaaa.Muambie wewe!mi nshachoka kusema!!ila najua jf watu wapo wamezaa na kuoana kwa ushahidi wa picha kabisa kuna kapo km sio mwaka wa 16 huu wako ndoani basi wa 15 hao nawajua walintimuia mpk picha zao,acha mahusiano mengine yanayoendelea mpk kuzaa humu yapo pia!
Wanaoona jf ni kupoteza muda waone tu ila mi napaheshimu sana
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
MwenzanguuKwahiyo Genta hatuna thamani