Selfika na JF: Snap it. Show it

Ukiona hutajwi tajwi JamiiForums jua si tu kwamba huna faida hapa duniani bali hata kule Sebuleni Kwake Baba Muumba ( Mungu ) pia hutambuliki na hauna Thamani yoyote.
Mmemuona Mwananchi wana Selfikaaaaaaa😂 Tuwekee picha yako Gentamycine... tuone tuvidole twako😜
 
Ujivunie a man/woman from selfika,sishauri kabisa na recommend huu uzi kwa wanaotafuta Marafiki wale wa chitchat,not otherwise.

unasaka mpenzi mkadakana wote kwenye huu uzi,basi makesure una spea tairi (usije tuabisha kwa machozi huko mbeleni) i guess huu uzi umekaa kimasihara masihara sana,ukiuchukulia serious Shauri lako.

ingia hapa kurefresh,kuzingua,kutania, have fun ujiskiavyo After hapo log out muachie mshana uzi wake,sasa jipendekezeni mko serious sanaaaa muhamie na whatsapp mka video call kbsa..

Sema i love this ka uzi,kwasababu (as i said) people are genuine, Sema mdada akinpenda mimi ni mkweli jamani. (nina wake wa 5 na watoto 6) lets all be clear to each other Uongo Mwikooo
 
Mmhh!!kwa nini?wasema hvyo?

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Mapenzi ya kweli humu yapo, ni kanuni na misingi na taratibu kuzifuata, kila kitu kitakua sawa.

Watu wanafunga ndoa na kuanza maisha kupitia selfika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…