Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 42,301
- 101,827
We nawe una gubu, pic yake ni pisi tena kali.Rudia picha kaka..
Huyo kaka anatokea wapi?
Em selfika na wewe tukuone..!!
We nawe una gubu, pic yake ni pisi tena kali.Rudia picha kaka..
😹😹😹 Eehh wifi kila kitu chako kitakua kwenye line, muhimu niweke hapo..!!Hilo limeisha mbona!
Tena ukiwa wifi yangu jambo langu lileeeee litafanikiwa vizuri sana.
Huyo mbona mwenyeji inatakiwa yeye ndo akukaribishe wewe..!! 😹😹Disco kaingia Mmasai , huyo mwamba 100 others Mchambuzi wa vita vya Iran pamoja na makombora ya aina mbalimbali nimeshangaa ghalfa nimemkuta Selfika now 😂
Mkuu mimi humu kitambo sana.. na huwa naselfika mara kadhaa..Disco kaingia Mmasai , huyo mwamba 100 others Mchambuzi wa vita vya Iran pamoja na makombora ya aina mbalimbali nimeshangaa ghalfa nimemkuta Selfika now 😂
Haujakosea.Nimekosea kumuomba arudie picha?
binti kiziwi umeniitia kitu gani hapa? Huu uzi hamuutendei haki, hapa inatakiwa picha sana, maelezo kidogo.Igweeeeeeee efu tano yangu ya kiingilio nifanye uchawa kama steve nyerere.
The Monk usipokuja hapa nakupigia kesho
Dah! Kwamba humu nnae goma na wewe ni Dada yangu? Katuga sana wewe.Hivi unajua The Monk kaka yangu naeza mgawa sasa hivi, Afu goma lake liko humu sema haliko selfika 😂😂😂 Hii comment ntaifuta baada ya muda maana nakuwa nimesambaza umbea 🤦🏻♀️
Siri si siri😹😹kama hutaki watu wajue utakuwa na lako jamboWala, ningekuwa wa kuweka miguu kila sehemu, ningeshajukikana hapa. Wanawake wa humu ni mashosti, ukitongoza mmoja, wanakaa kama kijiji.
Kwa mfano ukimtongoza Mallerina, lazima Lamomy & Co zitajua. 😊
🤣🤣🤣🤣🤣🤣duhMamaaa mamaaah tunakufa huku kina binti Sayuni 😍😍😍
Papaa, Papaa, Papaa
Nimekuita mara ngapi?
Njoo vile uko na maringo mingi kumbe uko muzuri kama Fally Ipupa..!!
Inatakiwa mumama aliyekuweka kwa tumbo apewe zawadi ya kikwembe 😹
Piga mabobo kwa papaaa 🥰🥰🔥🔥
Weka vitu coca😹😹😹Wachaa wee, 😂😂😂
Na wewe weka bossWeka vitu coca😹😹😹
🤣🤣🤣🤣sasa vitamfaaa Lamomyhivo ndo vya kusambazia umbea
Binti kiziwi namletea sketchers ya Y1400😂
Chat kwa picha tajiriNa wewe weka boss
Muda huu wako kwenye daladala wanaenda makazini
Hakukuwa na tishio la utekaji kama ilivyo sasaNakumbuka Babu kuna mwaka tulikutana pale Rombo Green View zaido ya Members 100. Na Jamiiforums kipindi kile ilikuwa na mijadala ya moto.
😂😂😂Weka vitu coca😹😹😹
Nasikia ulipita