Selfika na JF: Snap it. Show it

Tutakuja huko utakakokimbilia tukudabue kwa nguvu na kukurudisha hapa. Kwani ligi za Barabarani unaziweza mjukuu? Ukiachwa kwenye mavumbi si unaweza hata kulia? [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie tena sasa, mbna nishazoea maisha ya mikiki mikiki,
Tatizo tyuuh ni kwamba mie sasa nikianza kurudisha makombora naonekana mbayaa.

Hebu selfika bas mbna wee muongo hivyo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee babuuuh khaaah.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan unaweka moyo kwa mchepuko kiasi hiko? Basi muoe awe bi mdogo tyuuh. Uwiiiiiiiih
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] JF Hoyeeeeeeeeeeeeh.
Watu wanazagamuana tyuuh, ni mwendo wa foleni tyuuh.
Akishuka huyu yule anapanda, akipanda yule huyu anashuka.
Hahahahah akaaaah sitakiii. Lol
 
Hapana shos leo sijaenda!! Miss you more shos naona selfika dizain imevamiwa!!
Selfika as family we were and are so very happy sema vivuruge sasa!! !!!
Hivi shos wee dini gani kwanza [emoji12][emoji12][emoji8][emoji8]!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli kuna new comers humu ndani. Ni full uvamizi yaan.
Hahahahah watu wa humu ni kuvuruga tyuuh.
Shouzzzzzzzz mie mkristo RC.
 
Mjukuu amenambia ilikuwa JNIA hapo DSM, alipiga akiwa anakuja kunisalimia.

Sisi wazee hatuwezi kusafiri umbali mrefu, hivyo tumeamua kujikalia tu nyumbani tukicheza na wajukuu tu [emoji23][emoji2957][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha uongo wako wee. Lol
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli kuna new comers humu ndani. Ni full uvamizi yaan.
Hahahahah watu wa humu ni kuvuruga tyuuh.
Shouzzzzzzzz mie mkristo RC.
Hebu watuache sie.. binafsi kuselfika kam kauwaaa siachi ng'o wakunichamba anichambe wakunisema aniseme mie sijareeeeeeee🤸🤸🤸🤸🤸!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…