Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Bado sipo ..
Ila naona kabisa shughuli yake si ndogo , ni lifetime commitment hivyo inahitaji uvumilivu wa haja kwa wanawake .

Ukitaka mambo yaende vile unataka inabidi uchague moja kati ya mume au wewe kuondoka hapo .

Nikisoma na Mwanzo 3:6 napata majibu ...
Kisha akamwambia mwanamke, “Nitakuzidishia uchungu wa kuzaa, kwa uchungu utazaa watoto. Hata hivyo utakuwa na hamu na mumeo, naye atakutawala.”
..hata hivyo utakuwa na hamu na mumeo[emoji1787][emoji39]
 
Back
Top Bottom