Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

.
75339599_558649821563439_8615868442051870720_n.jpeg
 

Attachments


Nimecheka kindezi,, khaa kwamba unahisi mimi ni mwanaume au unadhani na mimi ni mmoja wa wale wa LGBTQ?? Daah Saint anne njoo huku unitetee

Aise nimecheka hadi watu wamenishangaa hivi kumbe inatakiwa kusisitiza kuomba picha ya mtu wa jinsia tofauti na yako eenh?? Basi naomba picha yako mkuu!!
Ngumu kumeza
 
Back
Top Bottom