Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ohoooo
Mbona ubichi tena
Ohoooo
Mbona ubichi tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na vyenye pm umefunga sasa daah
Naomba nitumie jamani pls
Huyu mbona kafanana na mtu fodo??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani weweee..
Sijafunga banaa, yaani mechekaaa
Hebu jiongeze hukoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]na kinyume cha baharia ni nini eti??
Picha yangu ya utoto hiyo
View attachment 1248263huyo hapo sasa, memfanya mdoli kwanza
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwahiyo nikaribie pm dada?? Utanikaribisha sasa??
Nini mbaya jamani mdogo wangu mzuri mzuri[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]daah jamani dada
Hebu jiongeze hukoo
Yaani sikukosea umri wako! Sio kwa maswali hayo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Leo uko na adabuuu
Ni hiyo picha ama kuko na kingine eti
Nini mbaya jamani mdogo wangu mzuri mzuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]haki ya nani vile kweli sijui
Wanaume si wanasemaga hatutakiwi kushindana nao kwamba eti kila jina watakalojiita na sisi tunalitafutia kinyume chake
Nikikumbuka siku unaniambia mie mdogo wako, sina hamu![emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]mimi mbona nina adabu siku zote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe unataka unigombanishe nao eehhh!!
Nasema hiviii, jiongeze mdogo wangu mzuri mzuri