Hatimae Hatimae Selfika imeselfisha siku yangu...Thursday si bado haijaisha....π
View attachment 2163391View attachment 2163392View attachment 2163393
Huna haja ya kuonyesha kung-fu zakoKwahiyo nisirushe ngumi shem wangu faida sana?
Huwezi amini nimefika hapa jamvini kwaajili yako...
Nilikua nipo hovyo hovyo sana nikagundua I was missing someone.
As it plays out...huyo mtu ni wewe.
Najua mdogo ako atabisha
AmeeeeeeenSemeni basi hata Amen wanajamvi π€£π€£
Najiulizaga mbona kuna watu wana like like sana comment za financial services
Jizaz kraist, leo nimeungwa PREMIUM PACKAGE dstv nakula channel kama zote
Ewaaa, kama zile za kipara mdogoShem usisahau zile kaptura;
Nikiwa around baridi tupa kule, ntakupa hug saaaafi kabisa shem wangututavaa hivyohivyo hata kama kuna baridi.
Naam naam, kuna mtu ana ubavu wa kupangia wakubwa zake? π€£π€£Sisi kwetu ndiyo wakubwa
Jamani hamna cha ziada ni picha tu hizoπ kwahiyo nisubiri likes kwenye comments? Thank you in advance mkuuπNajiulizaga mbona kuna watu wana like like sana comment za financial services
Kumbe bana sio comment wana like wanajua wanacho like,shenzi zao nimeshajua sababu
namimi nkiona comment natia like,staki kujua stori wala nini napita kama mkwepu jr
Ili inikolee kama nyieπ€£Vuta na wewe
YatawashindaHuna haja ya kuonyesha kung-fu zako
Hata Mimi nilikuwa najihisi kabisa siko sawa; something was missing. Hapa nipo kamili gado. Achana na huyo mvimba macho
Si mmeshindikana bwanaπEwaaa, kama zile za kipara mdogo
Nikiwa around baridi tupa kule, ntakupa hug saaaafi kabisa shem wangu
Naam naam, kuna mtu ana ubavu wa kupangia wakubwa zake? π€£π€£
Mke wangu Anne? ambaye ni mtakatifu?uwage na adabu wee mtu.
Ivi mkeo hajakuambia mie ni shem wako? Kaka kwa kutulia.
Eeeeh wee cheka tyuuh, maisha mafupi haya bhana, enjoy
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Sisi ni wakubwaSi mmeshindikana bwanaπ
ππππππHuna haja ya kuonyesha kung-fu zako
Hata Mimi nilikuwa najihisi kabisa siko sawa; something was missing. Hapa nipo kamili gado. Achana na huyo mvimba macho
Neno pepsi tu limetosha kunipa kiu π
Darling....would you show some respect and call it plant, please?Kuna watu naona bangi imewakolea
Nielekeze hii kichochoro naisikiaga sana,kuna wakati nawaza pakwenda nakosaKaribuni mnadani KibambaView attachment 2161714