[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kwan mie nifanyeje hapo babuuh? Kuhusu mke na watoto hilo ni lake halinihusu hata,Vibaya hivyo mjukuu. Kumbuka naye ana mke na watoto; na wazazi wa kuwaangalia. Huruma kidogo inahitajika![emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaume waliooa utawaweza bas, wenyewe kutwa kutaka kubadilisha ladha, utasikia "sio kila siku maharage", sasa hiyo nyama unayotaka hela unayo ya kununua? Kiruuuuuuh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi mtu hana hela; anatafuta mchepuko wa nini sasa???
Atamlisha nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nn sasa dada ake? Kwan uongo?Aiseee[emoji1787]
Mavazi ya out yanaeleweka c eti eeeh? [emoji23][emoji23][emoji23]Tunakuja kukutembelea ututoe out[emoji1787]
Hommie [emoji4][emoji4][emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kwan mie nifanyeje hapo babuuh? Kuhusu mke na watoto hilo ni lake halinihusu hata,
Mie nipo kwake ku enjoy nafas yangu tyuuh. Hahahah
Mwee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi mtu hana hela; anatafuta mchepuko wa nini sasa???
Atamlisha nini?
Ulipigwa na kitu kizito? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pesa c alikua nazo lakini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dea mbna jambo ni simple, km anataka kunihusisha na familia yake (mke na watoto) niwe sehemu yao anitambulishe na afuate taratibu kamili.Hahaha coca unayaweza wewe [emoji28].
Wake zao wanaombaga maombi mazito[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dea mbna jambo ni simple, km anataka kunihusisha na familia yake (mke na watoto) niwe sehemu yao anitambulishe na afuate taratibu kamili.
Sio niwe mchepuko afu aanze kuniletea habari za familia yake mie inanihusu nn sasa? Bas achague aidha mie au familia yake. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usiniambie ulikua unamkopesha au kumgawia tyuuh? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sikumbuki chochote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan kwa kweli.View attachment 2162532
Cocastic una komwe la mchongo[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wameshindwa kuomba hadi wanaume zao wanatoka nje kutafuta chakula.Wake zao wanaombaga maombi mazito
Shauri ako [emoji1787][emoji1787]
Hakiuzwi na pia hakitolewi bure 🤒Usiniambie ulikua unamkopesha au kumgawia tyuuh? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Nimecheka hapa mie lol.
Eeeeh hapo sasa umemalizaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakiuzwi na pia hakitolewi bure [emoji855]
Kabisaaa[emoji3][emoji85]Mnanidanganyia sana mabinti zangu; hamsemi kama mmeoa. Waambieni tu ukweli, ili wakiamua kuwadangia wawadangie tu wakijua hapa hakuna future.
Angalau kwa Baba Joy tunajua kuja Joy[emoji1787][emoji1787]
Single ambazo hazijachangamka ndo zikoje?Single zilizo changamka [emoji3][emoji3]