Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,376
Kumbe ndiyo maana umechangamka hivi. Kalale basi MtumishiHizi kucha ni za Coca wengine hazituhusu. Mjukuu Coca enjoy hizi kucha maridadi. Mi nimepambana sana niwekewe selfika sikufanikiwa. We umekuja tu paap unawekewa kucha. Siku nikimuona boya aliyesema eti binadamu wote ni sawa atanitambua.
Goodnight my people. Mungu Awabariki sana. I hope sijamkwaza mtu. Kuna wine hapa inaniendesha hatari....
Kucha za CocaKumbe ndiyo maana umechangamka hivi. Kalale basi Mtumishi
Ewaaaaaah hapa sasa mama malezi umeongea truth, ndo navokupendaga kwenye mada ya hivi huwa unatoa hoja za maana na mashiko. Umenifurahisha mnoo yaan.Msukuma jamani.
Anyways niwatake radhi single men wote wa humu. Jamani tulianza kama utani kwamba wote humu mmeshaoa; coz sio kitu cha kweli. Personally nawafahamu vijana wengi tu huku ambao hawajaoa; so please ambao tumetishia "ndoano" zenu mtusamehe bure. Utani uliogeuka kuwa a serious talk along the way.
Kukumbushana ni muhimu kwa kweli hata kama hakuna under 10 humu. Yes kama nilivyosema kama umeoa/umeolewa au una mahusiano yako serious na umekutana na mtu na ukamtamani; mwambie tu ukweli ili ajue kusuka au kunyoa.
Kuna wanawake ambao wao naturally wanataka married men; so ukiwaambia ukweli wanakupokea kwa mikono miwili; they have nothing to lose. Au mwingine ajijue ni mchepuko akuchune kimahesabu au afanye makaretee ya kumpindua mkeo.
Kuna watu ambao wapo serious na wanahitaji mahusiano serious; hawana muda wa kupoteza. Huyu ukimdanganya kuwa hujaoa/olewa, akainvest kwako na kuachana na wote; afu baada ya miaka 2 ndiyo anakuja kushtukia kuwa umeoa/kuolewa aisee sio haki. Ni kumpotezea mtu muda na kumuharibia maisha yake. Imagine binti amebeba mimba ndiyo anagundua mwenzie ni mume wa mtu na katu hawezi kumuoa; anaishia kuwa singo mom na mtoto wa kufichwa juu.
Kuna binti December alikuja kulipiwa mahari; harusi ilikuwa soon after Easter. Vikao vimeshaanza kabisa; mara ghafla anapokea simu mtu anajitambulisha kama ni mke wa huyo mchumba wake. Akamtumia na copies za vyeti na picha za familia; kumbe mume alihamia kazi mkoa mwingine ndiyo kafika huko na kuwa MBA. Uchumba ikabidi uvunjwe; imagine how traumatized that lady is. Tusijitafutie laana zisizo na msingi
So tuwe tu wakweli; kuna kina Coca wao hawajali. Uwe tyuuu na ndinga siku mojamoja akanyage mafuta na kujisnap; muende hotels zenu n.k . Siku ukimuacha kwa raha zake anarudi zake kwenye daladala/mwendokasi kwa amani kabisa as anajua kuwa success isn't sexually transmitted. (coca nakutania mwanangu, usinichambe mama ako)
Shida yenu moja hamueleweki. Mkiambiwa kweli mnaishia kumuona mtu boya. Mkidanganywa haoo ndo sasa mnafurahi. Jifanye eti we ndo msema kweli bila viuongo vya hapa na pale uone kama hujafa na ukame wakoKuweni wawazi tu..unajua kuna wanawake hawanaga noma uwe umeoa ama hujaoa kwake ni sawa tu na ukiwa muwazi utakua huru babe mchepuko hatakusumbua ila ukidanganya sasa unajitafutia mabalaa zaidi. Kwa hyo kama mna ndoa jaman tuambieni tu tutachagua wenyewe nje ama ndani
Hizi kucha ni za Coca wengine hazituhusu. Mjukuu Coca enjoy hizi kucha maridadi. Mi nimepambana sana niwekewe selfika sikufanikiwa. We umekuja tu paap unawekewa kucha. Siku nikimuona boya aliyesema eti binadamu wote ni sawa atanitambua.
Goodnight my people. I hope sijamkwaza mtu. Kuna wine hapa inaniendesha hatari....Be blessed
Siku ile hukuona selfie yangu hapa mjukuu? Tena niliweka mbili ukawa unasema jibabu la Kisukuma?weka selfie yako hapa.
Aah jaman Mungu atusaidie tuShida yenu moja hamueleweki. Mkiambiwa kweli mnaishia kumuona mtu boya. Mkidanganywa haoo ndo sasa mnafurahi. Jifanye eti we ndo msema kweli bila viuongo vya hapa na pale uone kama hujafa na ukame wako
Na ulishaona wapi muwindaji anakwenda kuwinda huku akipiga makelele?
Shida yenu moja hamueleweki. Mkiambiwa kweli mnaishia kumuona mtu boya. Mkidanganywa haoo ndo sasa mnafurahi. Jifanye eti we ndo msema kweli bila viuongo vya hapa na pale uone kama hujafa na ukame wako
Na ulishaona wapi muwindaji anakwenda kuwinda huku akipiga makelele?
Siku ile hukuona selfie yangu hapa mjukuu? Tena niliweka mbili ukawa unasema jibabu la Kisukuma?
Ukipata muda nitafute nikupe mbinu (from a man's perspective) jinsi ya kumgundua mwanaume aliyeoa hata ajifanye namna gani.Aah jaman Mungu atusaidie tubinafsi napenda niambiwe ukweli sababu sifurahii kudate married man kiukwel
ShimbaaaaaaUkipata muda nitafute nikupe mbinu (from a man's perspective) jinsi ya kumgundua mwanaume aliyeoa hata ajifanye namna gani.
Nitakuchaji hela kidogo though kwa sababu hizi ni siri za ndani sana. Na hutakaa udanganywe tena!
Mhaya mi kwani nina majivuno ya Kihaya? Umeshaniona najisifia ndinga kali, elimu, pisi kali au kuwa na pesa humu?kiukweli sijawahi kuona, bas irudie ya siku hiyo? Afu mie nimejua wee msukuma hivi karibun tyuuh.
Mwanzo nlijua wee n muhaya au mpare. Hahahah
Kanuni ya sie vidampa, kudate na married man ni yule mwenye pesa tyuuh, hawa wengine wapambane na ndoa zao.Aah jaman Mungu atusaidie tubinafsi napenda niambiwe ukweli sababu sifurahii kudate married man kiukwel
Sasa unadate married man afu hana MPUNGA hayo ni matumizi mabaya ya dhambi hahaaKanuni ya sie vidampa, kudate na married man ni yule mwenye pesa tyuuh, hawa wengine wapambane na ndoa zao.
PamojaAndaa 50K za ada
Afu sio kisa hivyo,Mhaya mi kwani nina majivuno ya Kihaya? Umeshaniona najisifia ndinga kali, elimu, pisi kali au kuwa na pesa humu?
Mi Msukuma mshamba mlima nyanya na dengu wa huku Misungwi tu.
Nikumbushe kesho nitakuwekea mjukuu. Picha hazipo kwenye simu kwa sasa
Niko nawasoma tu halafu.Sasa unadate married man afu hana MPUNGA hayo ni matumizi mabaya ya dhambi hahaa