Hizi kucha ni za Coca wengine hazituhusu. Mjukuu Coca enjoy hizi kucha maridadi. Mi nimepambana sana niwekewe selfika sikufanikiwa. We umekuja tu paap unawekewa kucha. Siku nikimuona boya aliyesema eti binadamu wote ni sawa atanitambua.
Goodnight my people. I hope sijamkwaza mtu. Kuna wine hapa inaniendesha hatari....Be blessed
Kuweni wawazi tu..unajua kuna wanawake hawanaga noma uwe umeoa ama hujaoa kwake ni sawa tu na ukiwa muwazi utakua huru babe mchepuko hatakusumbua ila ukidanganya sasa unajitafutia mabalaa zaidi. Kwa hyo kama mna ndoa jaman tuambieni tu tutachagua wenyewe nje ama ndani