Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 25,999
- 137,038
Miguu juuUtawasimilie wajumbe waliolala muda huu
Na wewe selfika basi
Miguu juuUtawasimilie wajumbe waliolala muda huu
Na wewe selfika basi
Kwamba ukiona selfie yangu utajua sababu za mimi kupenda mambo vipi😂😂😂Tunaomba uselfike kwanza kabla hatujasema lolote
Amka uselfike bila blanketi
Nataka nione kidevu tu😝Kwamba ukiona selfie yangu utajua sababu za mimi kupenda mambo vipi😂😂😂
Subiri jua liwakeAmka uselfike bila blanketi
Ebu tupia kapicha nione hata pm 😀😀Kumbe ndo maana najiamini😂
Tupia sasa ili nayeye atupieNgoja tutaona, Tinsley unapita kimya tu, fanya kutupia kidogo
Eti eeh?Ebu tupia kapicha nione hata pm 😀😀
eeh hata PM 😊😊😊😉😉😉😉Eti eeh?
Ngoja nikavae nguo zangu za zamani za kuendea kanisaniTupia sasa ili nayeye atupie


Au siyoeeh hata PM![]()


Ile ya Asenali ile huwa inaukosha moyo wanguNgoja nikavae nguo zangu za zamani za kuendea kanisani![]()
Sio majobless tu hata siye mama wa nyumbani piaTicha Mjep
Boss wetu majobless..
Mtunza majobless![]()
Bora hata mama wa nyumbaniSio majobless tu hata siye mama wa nyumbani pia
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Safiri salama afande. Malaika wa Mungu waende nanyiSeat ya mbele kabisa hapaaView attachment 2161235



Ewaaaaa.. 😊😊😊😊Au siyo
Subiri hapohapo,picha yaja.
Kikubwa usinichungulie![]()