tycoonff
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 928
- 1,311
Pilau mzee
Mzeee lazma tutie timu hapo. Dah pilau au nini hiyo
Mzeee lazma tutie timu hapo. Dah pilau au nini hiyo
Ukweli unauma ila humuweka mtu salama.
Usiogope kumwambia mtu ukweli.
[emoji24][emoji24]
Pilau mzee
Mzee wa kumwaga like alafu anagana khabari.[emoji41][emoji41][emoji41]Heshima tele kwa mkwepu jr aiseee[emoji1420][emoji1420][emoji1420]
Wewe ndio unsung hero wa huu Uzi[emoji1]
Hili dongo nadhani kuna watu linawahusu humu[emoji23]Wakaka wa JF ongezeni picha za viatu! Wallah mnajua kuvaa viatuu
Haina shida hata kama nimevaa wiki. Btw as man kila kitu sio lazima uongee mbele za watu. Au unadhani ni wewe ndio una macho kuliko wengineHapa ndipo mnaponiacha hoi WaTZ.
Hivi unafiki mtaacha lini?
Mtu kama huyu yupo rough rough mchafu mchafu kwa nini asiambiwe ukweli ili abadilike?
Usikute hapo boxer ina zaidi ya siku mbili haijabadilishwa.
43 au 34 [emoji3][emoji3]Mimi huyu kweli jamani?? Sasa hebu niambie nina miaka mingapi!!
Usiwe mzuri hvo...Na kuna mwanamke anampa mchezo vile vile alivyo, haki wanawake tuna huruma sana aise.
Pale kwenye climax..Wapi hapo
HahahaNiko hapo katikati karibu na pembeni View attachment 1247874
Pale unapoambiwa picha ya Atoto ishafutwaView attachment 1248179
Dah icho kishudu apo nyuma sio poa[emoji3][emoji3][emoji3]From west wit LuvView attachment 1248003
Yani wewe ulitakiwa unitumie picha yako pm niifanyie uhakiki kwanza. But anyway tuma now ikaguliweSijui kwanini anafuta eti jamani
Yaani wale wazuri wangekuwa wanaacha tu picha zao ila wengine wenye sura zetu personal ndiyo tulitakiwa tuwe tunafuta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Halafu kidogo ufanye nikusalimie, nyau wewe
43 au 34 [emoji3][emoji3]
Sema ata ilikuwa ainiusu..
Pale kwenye climax..
Ni balaa mkuu ...Sema bei ghaliYani jf ina vifaaa hatari saana.
Ni balaa mkuu ...Sema bei ghali