Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,375
- 110,038
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hata hili ni gumu hatari tena kwa ninavyoona hilo unalicheza ndio rahisi zaidi. Yaani vipe unavyomyumbisha nawe unayumba kabisa... Apo
Ukosiriaz hutak mtu akuguse wala kukuongelesha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa mkuu unatafuta urahisi kwente games?? Ule ugumu wake ndiyo utamu wenyewe!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaani ukitilt simu kumpeleka runner pembeni na wewe unaenda hadi unaonekana kama tonji fulani hivi