Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Ni kiluga cha watu wa ulaya.."Kudhungu" ndiyo nini eti??
Weka hata malapa tuu kakaTusio na viatu vizuri tuweke nini Dada!??
Basi we utachagua rangi, halafu mi nitaduu ze nidfulAwwww
Itabidi gharama tugawane bana
Ni kiluga cha watu wa ulaya..
HapanaHili dongo nadhani kuna watu linawahusu humu![]()
Mie niko nayo
.This thread is full of photos, if you can't find one then post one.
Nafikisha 40 mwakani jamaninisalimie tuu jamani kwani wewe una miaka mingapi??
Wewe nakuaminia kaka, kwenye kupika hunaga masiharaHahahaha
Bachelor sugu nimetoka kuchemsha mboga hapa
Huhuunh...tazama kwa prime minister dear, ipo karibuni sana ujue in less than a month
"kiluga" ni aina Fulani hiv ya majani ..yanapatikana kule Chato."Kiluga" ndiyo nini kwani??

Nafikisha 40 mwakani jamani
Hiyo rangi meielewa sana, tutagawana bei tuuBasi we utachagua rangi, halafu mi nitaduu ze nidful