Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

.
Hivi mnapiga story au mnatuma picha?
IMG-20191029-WA0070.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe na wewe ni mmoja wa wale ambao mkidata huwa mnaahidi hadi ndege kumbe tuktuk tu mtihani achilia mbali japo kabrevis (kidding)
Ungeaibika maana mm ni mdau mzuri wa muvi.. kama nimependa muvi basi namfuatilia mpaka director..script writter..producer hadi stunts....
Btw kadada kazuri mno.
Can't afford kwa sasa kukutumia[emoji3][emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa mkuu unatafuta urahisi kwente games?? Ule ugumu wake ndiyo utamu wenyewe!!

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaani ukitilt simu kumpeleka runner pembeni na wewe unaenda hadi unaonekana kama tonji fulani hivi
Hili naona ni rahisi afu hamna uchafu uchafu kama hiyo TR2
 
Back
Top Bottom