Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Mependa sandals zako mkuuFrom west wit LuvView attachment 1248003
Mependa sandals zako mkuuFrom west wit LuvView attachment 1248003
Wamo humu ndugu zetu sema ndio vile tu kujuana ni ngumu 😂Halafu nahisi humu hakosi yupo ningekimbia Jf kwa mda mbaya sana kuwa na mtoto wako sehemu kama hii😁😁😁
Uchochezi huooUkaazima na mdada wa kupigia picha. Na pose ukampa ' eti wape mgongo
Inategemea na kanisa.
Huku nilipo kuna dogo ni Mtumishi 'wale wasaidizi wa padre ana rasta zake safi afu ni wa kiume na kanisani mbona anaingia




How could he???

Ndio maana me nimemuuliza alikokodi mdada wa watu 😂😂I'd ya kiume anaweka wowo😁😁😁
Tulia basiUchochezi huoo
Nikutanishe nao nione walivyofanana kama wako kama mmHuyo niliyekufananisha nae na mwenzie wamefanana mno kiasi sijui nani doto nani kulwa.
Nililala fresh asanteee.. Lala bby
Naongeza sautiTulia basi
Myb kwakuwa ndio asili yao 'chugamaicaHow could he???
Jamii inayonizunguka nayo sio poa. Watanichukulia mvuta bangi au kibaka. Ngoja tu niziache Nikienda majuu ndio nitaziweka![]()
Ni mgeni yule hajui hata kusoma commentsNaongeza sauti
Usijali mpendwa.Nikutanishe nao nione walivyofanana kama wako kama mm
Baraza la siasa linakuita 💃
Tutakao anza nao



umeona ee
Wamo humu ndugu zetu sema ndio vile tu kujuana ni ngumu
Yan humu unaweza kuta unajibishana na Aunt yako sema hujui tu
Mmh..Ni depal pekeyakeOohh sawa nitakuanzishia uzi wa 'hepi besdei'
Hivi humu hamna mtu aliyezaliwa kuanzia 98 kuja juu











Mmh..Ni depal pekeyake![]()