Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Baba joyyy. Hivi hujamuona mdogo ako Leo; alitupia kitu hatariiiiiiiii. Ameambiwa atupe mavitenge yakeHapa mwanangu hata mtoko Sasa tunaweza kuongozana sio Yale manguo yasio na vipimo
Baba joyyy. Hivi hujamuona mdogo ako Leo; alitupia kitu hatariiiiiiiii. Ameambiwa atupe mavitenge yakeHapa mwanangu hata mtoko Sasa tunaweza kuongozana sio Yale manguo yasio na vipimo
Halafu [emoji849][emoji1787]Nataka nimiliki Ardhi yote ya Tanzania [emoji3590]
Njoo basi cocastic umsalimie babe wanguAm about to babee
Kamoyo kangu katafurahiiHalafu [emoji849][emoji1787]
One pic before u go to bed babe[emoji4]Am about to babee
Ya kwako imenipitaje mpendwa na niko hapa hapa sijabanduka?Mpendwa wote leo tumetupia picha wewe yako vepeee[emoji23][emoji23]
Kaa mkao wa kula jobless mwenzanguTatizo ulinihujumu zile vocha.
Ile laana ya hujuma[emoji1787]
Wewe uko bizee kushangaa za wengine😂😂😂Ya kwako imenipitaje mpendwa na niko hapa hapa sijabanduka?
Sijaiona aisee Leo nilikua tight flan..alitupia amevaa ma wax Kama bahati bukukuBaba joyyy. Hivi hujamuona mdogo ako Leo; alitupia kitu hatariiiiiiiii. Ameambiwa atupe mavitenge yake
Mtumwa wangu😬Wakati huo
Mimi nitakuwa kwa wapi
Nina ushuhuda kwenye hili jambo
hatari sanaa... kosa kubwa sana kupitwa na hiyo picha.. bora usingizi umekataaa kazi ya leo sio pevuuYa kwako imenipitaje mpendwa na niko hapa hapa sijabanduka?
Huu mtihani mzito.. 🤧🤧🤧Nataka nimiliki Ardhi yote ya Tanzania ❤️
Hivi inawezekana[emoji1787][emoji848]Mtumwa wangu[emoji51]
Huyo ndo mchumba ako?Yes my darling
Kitu short dress, mabega waziSijaiona aisee Leo nilikua tight flan..alitupia amevaa ma wax Kama bahati bukuku
Mwanaume hajawahi kushindwa kwenye nia pana njia mkuuHuu mtihani mzito.. 🤧🤧🤧
Unajifanya hujui sio[emoji23]Huyo ndo mchumba ako?
Basi leo nimepishana Sana na michongo atakua alipendeza balaa