Hiyo inaitwa guberi
Waouw..!

Nights too boss lady
Mpendwa wote leo tumetupia picha wewe yako vepeee😂😂Watu weuweeeee, lect km lect.![]()
Rangi ya mtumeeeh,





Hata najua sasaHujui kitu gani?
Selfika wewe...acha maneno mengi..nasubiri yako tu nilale...Rangi ya mtumeeeh,
Anaekukula anafaidi. Woiiiiiih
I thought you were asleepYes my darling

Tupia basi mtoto nzuri... nahisi internet itapata hadi shock 😀😀Jf kuna pisii bwana,kuna walimwende na tena kuna warembo class 🥰
MweeRangi ya mtumeeeh,
Anaekukula anafaidi. Woiiiiiih
Hapa mwanangu hata mtoko Sasa tunaweza kuongozana sio Yale manguo yasio na vipimoBaba Joy. Sio vitu vya Abiud![]()
SawaHiyo inaitwa guberi
Nimetupia mkuu zangu zimejaa teleTupia basi mtoto nzuri... nahisi internet itapata hadi shock 😀😀
Uje umejipanga vizuri. Hakuna lelemama wala jomoni tyuuuh!babuuuh bhanaaa wee acha hizo.
Yaan uko majuu, daaah nikipata fursa ya kuzamia huko siuluzi mara 2 najilipua tyuuh.



Si ndo yeye muhudumu kasema umipia hivyo.We mjukuu Unabeba vya kunywa wiki nzima?![]()



Am about to babeeI thought you were asleep![]()