Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,108
- 41,775
Eeh kabisa mama mchungaji nimetulia![emoji23][emoji23]Mrs Abiud [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji51][emoji23][emoji23]
Mie tena Usiwaze mbona!Mie zote ambazo sijaona, fanya ufanyavyo nizione tyuuh. [emoji4][emoji4][emoji4]
Yeah! Hapa parefu ndugu zangu!Greetings [emoji113]!View attachment 2160891
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Binti ambaye kwao kuna watu wazima[emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji126]Halafu ni wifi yetu.[emoji847]nimepiga na mruzi kama subaru
Kaka alijua kuchagua..hakuchagua watoto walioshindikana kwao.
Alichagua dada mzuri anayeendana na wifi zake
Hapana; wewe tuma tu picha zozote wifiEeh kabisa mama mchungaji nimetulia![emoji23][emoji23]
Kuna picha nyingine tukituma humu [emoji125][emoji125][emoji125]itakua balaa,acha tutume za kanisani
KumekuchaaaaaaaGreetings [emoji113]!View attachment 2160891
[emoji1787]Na utanambia unakolivaliaga
Maana ukitembea ndio kwanza linataka kupanda mpaka kifuani..
We mtoto ushashindikanaaa[emoji1787][emoji1787]
Ila unanichinja dea, afu sio poaa yaan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaone kinacho kuchekesha hasa kitu gani[emoji51]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yote kheri
Yeah! Hapa parefu ndugu zangu!
Asante sana [emoji120]Karibu sana binti Abiud. Very decent
Uwiii🔥🔥🔥🔥Greetings [emoji113]!View attachment 2160891
Lovely
Mungu amekupendelea sana, yaani sana.Greetings [emoji113]!View attachment 2160891
[emoji849][emoji849]Mama alisema hutuoni wakubwa?
Sijawahi vaa toka nimenunua,lipo kwenye begiView attachment 2160880View attachment 2160882View attachment 2160883
Mbna sijaona mie lol.Waauweeeeehhhhhhhh [emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji108][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577] Umenouga hatari
[emoji3][emoji3][emoji3]mna gubuWanyaki kama kawa. Wifi akaribie sana, ila atuzoee tu na ghubu letu [emoji1787][emoji1787]