Selfika na JF: Snap it. Show it

Mpendwa πŸ™„we mbona kama Nuru niliwahi kukwambia sura yako si ngeni
Hapana

Labda tu nimfananie, afu sasa mbona mie nitakuwa nafanana na watu wengi!!!

Shule nilifanana na mtu mpaka utwin ukaanza.

Chuo the same, mpaka sahivi bado utwin wetu unaishi.

Mtaani now nafanana na secretary wa NGO flani.

Khaaa jamani πŸ€£πŸ˜‚
 
Na utanambia unakolivaliaga
Maana ukitembea ndio kwanza linataka kupanda mpaka kifuani..
We mtoto ushashindikanaaa[emoji1787][emoji1787]
Mimi mama ana style yake ya kushangaa hivi
Utadhani amepigwa na bomu

Anaongea na kilugha


Nilivyovaa akapuliza na kimruzi Kwa mbali huku anatingisha kichwaπŸ₯²
Nikajua tu hapa tayari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa Depal

Mtu anatafuna limbe

Anakula mgagani

Anakula ngubalo na fulu

Anakunywa maliboto

Anatafuna mbegu za maboga

Bado unauliza pumzi kweli[emoji1787][emoji848]
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Basi huyo hafai, anaweza mzimikia mtu kwa chest.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…