cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,132
Chaaah
Akiyanani![]()




yaan watu tumelala hata hatujui kinachoendeleaa huko sebulen,. Asubuh tunaamka tunaona kweupee, yaan wezi bhana lolChaaah
Akiyanani![]()




yaan watu tumelala hata hatujui kinachoendeleaa huko sebulen,. Asubuh tunaamka tunaona kweupee, yaan wezi bhana lolNgoja kaka etu tupambanie naye vocha za boss ledi na Mjep
Watu wengi wanaview huu uzi kimya kimyaYani humu mi naona id mpya kibao kha!
Nataka kutoka sahivi mie, tukutane baadae mida yetu ile![]()
Uwe karibu vocha zikija upate



SaanaaOoh vyema
Wazee nyie mna maarifa
Haya baadae rafikiNataka kutoka sahivi mie, tukutane baadae mida yetu ile![]()
Nishamuingiza kwenye pambano la vocha.Kumbe ingizo jipya
Haya omba upate usajiri kwanza kwa boss mkubwa Mshana alaf uthibithishwe na mama mchungaji Saint Anne
nn umeona?
Sasa wee umeingia leo humu, umejuaje km mjep anatoa vocha? Yaan had ku quote unajua.Wewe wasema nakuuliza tena maana ya id ni nini, humu




Sawa sawaSaanaa
Usikawie
Kumbe ingizo jipya
Haya omba upate usajiri kwanza kwa boss mkubwa Mshana alaf uthibithishwe na mama mchungaji Saint Anne







Hahahaaa... akaribie sana ila mwanaume kugombania vocha haijakaa poa kabisa!






We dogo kuna ingizo jipya linatakiwa lisajiriwe wewe unacheka🤣🤣
Nishamuingiza kwenye pambano la vocha.
Ajisikie yupo nyumbani.
Aweke na kaselfie tumpokee kwa shangwe kaka etu.








Ameweka suraAiseee nimeona ile nahangaika kulike nikaambulia za uso
Ahsante sana boss lady kwa kuniita
cocastic you killed it
Sasa ni wakati wa msukuma Wigelekelo kumwaga manyanga


Kwamba hujuilipi hilo sasa? Khaaah
Yanii!! wakaribie tu ila huko kubadili wawe na lengo jema baasi!Watu wengi wanaview huu uzi kimya kimya
To be the honest, nilijua ni ID yako wallah, maana kaja kwa speed afu vuuum kwako we.We dogo kuna ingizo jipya linatakiwa lisajiriwe wewe unacheka![]()









