Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

To be the honest, nilijua ni ID yako wallah, maana kaja kwa speed afu vuuum kwako we.
Nkajua ni wee tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mkasema ule mpango wa username, ume cancel ukaamua uje na I'd mpyaa tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We dogo hii ID tangu 2014 siwezi badili, niuweniiiii......
Hao ni macharii wa michongo
 
Ebu muhoji vizuri atoe maelezo yaliyonyooka asilete mambo ya kisoro hapa
Au kaja na Id yake mpya kajisahau anadhani anatumia ile kongwe[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilijua ni wee mwenyewe, hahahah
 
Back
Top Bottom