Selfika na JF: Snap it. Show it

Chaaaaah![emoji23]
Alichana mkeka[emoji119][emoji119]
Ufunguo?
Mwizi akiiba funguo umekwisha..ndio ile mbuzi amefia kwa muuza bucha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa nawaambia twendeni tuwafukuzie nje kabla hawajafika mbali..hakuna anayeniunga mkono
Watu wamejificha[emoji1787][emoji1787]watoto wa kike ni matatizo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee bhana, usikurupuke kuwafukuza wezi wanaweza kuku ua, wanakua tayar kwa lolote, kujihami ni muhimu mnooo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…