cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,132
Sasa nan?Ni wewe huyo?
Sasa nan?Ni wewe huyo?
Nimejipanga kumsimulia nilichoonaMjeda alikuepo Humu ila amepoa sana sikuhizi!😜!
mahondaw unaona swali lake huyu mtoto.nimecheka mie, utamu wa wapi sasa? Hahahah
Awapi!Shape ndo hizi sasa
![]()
Kuna maboya wamenifanyia ushenzi wa kishenzi usikuNamsaidia mdogo wangu Saint Anne hayupo
Unastahili kupata hizi sifa boss lady ukizikosa tutakua hatukutendei hakii



Ndyooooo chui chui weuweeeeeeh.
Shouzzzzzzzz huyo mshape sasa awww unaua kabisaaa.










ya kawaida sana shosBoss ledii naomba uweke picha nipoze hasiraHaha![]()
Hasira zanini tena mtakatifu?Boss ledii naomba uweke picha nipoze hasira
Kwani umekutwa na jambo gani cc? Hebu nambie kwan bas.Huyu msengerema amenifanya niache kazi zangu,nianze kuzurula Kwa mjumbe,mara polisi,
Nikimkamata siku nyingine namfanyia ushenzi wa kishenzi.View attachment 2160357View attachment 2160358
Ah weeeFanya mambo binti Abiud








Ilibidi kwa hasira nawewe utupie mapichapicha tu hapaa.Boss ledii naomba uweke picha nipoze hasira
Mmhh wewe laiti ungejuaHata yako sio ya polepole
Taarifa zako tunazo

Upi huo hebu tueleze kwan.Kuna maboya wamenifanyia ushenzi wa kishenzi usiku![]()
ndio ndiooo...Santo sana shos.unanouga hatari 😘😘♥️♥️
Ivi Anne nawewe kweli kabisa hapo ndo ulipochagua kushika kuacha sehemu zote. Unanchanganya dogo ujueIlibaki kidogo nimng'oe kende zake maana nilikuwa nishamdaka