Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,499
- 235,202
Na mimi ndipo nilipochoka[emoji1787]Duuuh hapo kwa I'Ds ndo nimechoka kabisaa yaan mweeeeh.
Na mimi ndipo nilipochoka[emoji1787]Duuuh hapo kwa I'Ds ndo nimechoka kabisaa yaan mweeeeh.
Tuendelee boss lediUmeanza Anne!
Pole aisee, ID ni muhimu .Na mimi ndipo nilipochoka[emoji1787]
Weee acha kejeli ujue tumbo gani hilo mweh!Tuendelee boss ledi
Shusha shusha vitu[emoji3059][emoji3059][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]
Picha zako zinatetemesha hadi server[emoji91][emoji108]
Hebu tuone ya nyuma...ukiwa zoezini aiseee
Tumbo lako dogoo hadi raha.
Basi mimi ndio niliiweka huko[emoji1787][emoji1787]Pia re arrange your rooms
Make sure vitu vinaitwa mikoba, mapochi haviko karibu na dirisha.
Saint Anne
Alikua mrembo kiasi chake. Vitabia vikatutofautisha.Unapenda shape wewe [emoji1787]
Itakuwa alikuwa mrembo kichizi.
Linaendana na mwiliWeee acha kejeli ujue tumbo gani hilo mweh!
AsantePole aisee, ID ni muhimu .
✌️✌️✌️✌️Alikua mrembo kiasi chake. Vitabia vikatutofautisha.
Mkuu shape inasuuza moyo. Sio kwamba tunapogeuka barabarani tunatamani, ni kale kafeeling kakuappreciate
42[emoji15]Kiatu size 42 hicho dear
Thank you .. Mungu amenipa kaguu kadogo ila ukianza kutafuta viatu ni kuanzia 40 Hadi 41 .
Tuendelee boss lediUmeanza Anne!
Ulichokula leo ulage icho ichoLinaendana na mwili
Yaani kwa mwili wako na hilo tako na hiyo booonge la shepu hako katumbo ni kaduchu.
Tuendelee na picha boss ledi[emoji91][emoji91]
Alikua mrembo kiasi chake. Vitabia vikatutofautisha.
Mkuu shape inasuuza moyo. Sio kwamba tunapogeuka barabarani tunatamani, ni kale kafeeling kakuappreciate
Na hapo vinanibana hatari .42[emoji15]
Dogo sipati picha ingekua mwanaume wewe! Punguza kunijaza bana!!!! Sina hata la maana!Tuendelee boss ledi
Tunasubiri utetemeshe tena server kama kawaida yako pisi kali jf nzima hapana kama wewe[emoji3059][emoji3059][emoji3059]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unapenda shape wewe [emoji1787]
Itakuwa alikuwa mrembo kichizi.
Mmh wenye size 41 umetuona?Kiatu size 42 hicho dear
Thank you .. Mungu amenipa kaguu kadogo ila ukianza kutafuta viatu ni kuanzia 40 Hadi 41 .
[emoji3][emoji3]Anha sawa ..
Ila ashapatikana wa kuziba nafasi yake eeh ..
Shape inavutia kwa kweli .. hakika Mungu aliba watu wamejaliwa .
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]