cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,132
Duuuh poleeeeh sana cc, ila wezi jaman, nakumbka niliibiwa cm na pesa tena kwa kutoa mwenyew, fahamu zilirudi baadae,. DAR n hatar sana.Angechukua vyote aniachie tu vitambulisho vyangu.
Lilivyo lijinga limebeba ..havina faida yoyote kwake.













