Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,209
- 183,052
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!Hio figure sitaki kuamini hakuna sponsa.
Mbavu zangu hukuu khakha!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!Hio figure sitaki kuamini hakuna sponsa.
Hebu nielekeze kwenu nikasalimie nawee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Safi kokastiki
Ununue hata maji
Uongeze uchumi hapo[emoji1787]
Mwee 6 kikeni ni super tall ujue[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tena sijui nijipe 6 kabisa
Sasa wewe unaona 5.7 mfupi wakati mtaani tumekaa na Watu Wana 4[emoji846]
Bosi ledi Wakuja tu![emoji23][emoji23]
Boss ledi tunataka ukae kae huko juu mawinguni
Wewe ni mtu na nusu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahahaaa...
Wee Anne nitake radhi nishastaafu huko ujue!![emoji12][emoji23]! Nalea wajukuu na kina mamkubwa shangazi tu saivi sitaki mambo mengi [emoji1787]Jitose
Mwenye nguvu ndiye anayemiliki.
Ile figure ya kimataifa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wacha wee.Mwee 6 kikeni ni super tall ujue
Khaaa nne jamani wacha uongo [emoji1787][emoji1787]
Myb 5.0, 5.1, 5.2, 5.3, 5.4
Tumejaaaa sana hapo
Ila yule alikuwa 6+ bana[emoji3059] na nilikuwa namfikia kifuani [emoji2088][emoji2088]
Hebu tuone tuambie vizuri huyo wa 6+[emoji847]Mwee 6 kikeni ni super tall ujue
Khaaa nne jamani wacha uongo [emoji1787][emoji1787]
Myb 5.0, 5.1, 5.2, 5.3, 5.4
Tumejaaaa sana hapo
Ila yule alikuwa 6+ bana[emoji3059] na nilikuwa namfikia kifuani [emoji2088][emoji2088]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hebu tuone tuambie vizuri huyo wa 6+[emoji847]
Umekatishia njiani.
Wengi wapo 4 inabidi tuongee nao tukiwa tumeinama
Umbea tu 🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wacha wee.
Kile kiuno kama nyigu siyo cha kulea wajukuuWee Anne nitake radhi nishastaafu huko ujue!![emoji12][emoji23]! Nalea wajukuu tu saivi sitaki mambo mengi [emoji1787]
Hebu nielekeze kwenu nikasalimie nawee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ah wapi weeBosi ledi Wakuja tu!
Huyu ni boss mkubwaWeuweeeeeeeh shouzzzzzzzz ake hapo sasa, naszubiri vocha woiiiiih
Ndio kubwaa!Kweli?[emoji23]
Boss ledi mahondaw inaitwa huku ukazunguke hewani na BoeingSaint Anne muulize basi kama yupo singo, mi nikimuuliza naona anacheka tu, sijui ananicheka..
Utajua haujuiYaani kwamba?
Hamnijui nyie[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bas sawa, ngosha km ngosha.Home ndio hapo
Kulia kwako kwa mbele
Kuna zizi kubwa na kiji duka cha tembe
Nakubaliiiiiiii mie.Huyu ni boss mkubwa
Hili halina ubishi