Stuli ya nyumbani hiyo.Hapo
Ni the kitchen[emoji848]
Utanikuta boss, nimelala hapahapaNasogea sogea hapo [emoji4][emoji4][emoji4]
Nyie vidole tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Heaven Sent anazingua.. [emoji1783][emoji1783][emoji1783]
Ewaaa safi sana 😊😊
Watu ndani ya [emoji3575] wacha wee, [emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2159047
View attachment 2159048
Tupende vya kwetu
The Wings of Kilimanjaro [emoji91]
Dogo mimi ni mrefu, achana na mambo ya [emoji151] japo na wewe ni mrefuUmenizidi kidogo.
Ila tuvidole twako tuna kucha nzuuri.
Mimi kuna gu ukucha gubaya huwaga nakosa Hadi confidence ya kuachia mavidole[emoji19]
Eeeh kabisa bossUzuri naja hapo nitaviona basi eeh [emoji1783][emoji1783][emoji1783]
Kwa vile vidole nakubali umenizidi urefuDogo Mimi ni mrefu, achana na mambo ya [emoji151] japo na wewe ni mrefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Mimi navyopenda huo ungongoti. Hata kiatu chako naona unavaa size ya kawaida tu; Mimi 41Kwa vile vidole nakubali umenizidi urefu
Mimi viatu virefu nimeachana navyo
Nikivaa nakuwa ngongoti[emoji23]
Hutu tukorosho tutaaamuView attachment 2159047
View attachment 2159048
Tupende vya kwetu
The Wings of Kilimanjaro [emoji91]
Wapi hapo mama mchungaji, mbona sipaonii?
Wajukuu zangu wameamua kunipeleka Kliniki ya Macho kwa 🛫Watu ndani ya [emoji3575] wacha wee, [emoji91][emoji91][emoji91]
Kuna sehemu zinauzwa kumbe zenye hiyo chata?Sana, ngoja nimwombe Lizzy aninunulie kwenye Supermarket yao [emoji39]
[emoji1787]Sasa Mimi navyopenda huo ungongoti. Hata kiatu chako naona unavaa size ya kawaida tu; Mimi 41
Boss lediiii mjengoni[emoji91]Nimewamis sana humu!