Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tupia hata vesti malaika wasije wakabaki kukuangalia badala ya kukusikiliza 😂😂

Ila bora tu jamani....maaana....🥵🥵
😃😃 kama dili manguo marefu.. Adamu na Eva wangelishwa hizo.. ila tunaona walikuwa uchiii. na walipo zingua Mungu akawapa vinguo vya ngozi.. Dhambi kubwaa ambayo ni hatari ni PRIDE hii ndio kimeo.. hii ndio hata ilimtoaga shetani kwenye nafasi yake.. hakuzini hakuvaa vibaya wala nini.. kwa moyo wako utanikutaga peponi na escort ya malaika wenzako
 
Makes sense!!!🙂

Kweli siku hiyo kuna watu wanaweza wakagoma kuingia mbinguni kisa tu wametuona miongoni mwao....na hawakutarajia kamwe 😄😄😄

Wanaweza wakaamini shetani anawachezea.😂
 
20220321_093220.jpg
 
Back
Top Bottom