Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ubaya wa hili somo ni kuwa halitaki mbwembwe. Jibu swali kwa ufupi na kwa ukamilifu. Ni sayansi hii. Ukicheza kidogo tu utajishangaa unatoka na B au C. Mojawapo ya masomo rahisi kabisa kabisa!
Usemacho ni sahihi Mkuu, wakati natoka kwenye paper yake nilisema sikosi A badala yake πŸ™ŒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Back
Top Bottom