Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Fashionasitaa huyu sasa!uko vzr mama mchungaji!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Binamu huu ulimwengu unavyoenda; hakuna color isiyo-match. Mtu mmoja tu anathubutu kuvaa; haooo tumeshaiga. Imagine kuchanganya red na pink; zamani ungechekwa ila sasa hivi aaah unatokelezea hatari
 
Uwe na damu ya nguo ndo utanogaa!!!
Siku hizi rangi za ajabu zimetalaki na watu wananogaa

Back
Top Bottom