Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,376
God honors marriage ; ndiyo maana hata alifananisha uhusiano wa mke na mume; na uhusiano wa Kristo na Kanisa. Changamoto nyingi sana zinakuja kwa sababu ya kuvunja misingi ya familia. Na shetani since anajua jinsi Mungu anavyoiheshimu ndoa; na zaidi ndoa ni kusudi la Mungu; hatoacha wanandoa waishi kwa amani; changamoto kama zote. Ndoa/familia ikiwa utulivu; utaona hata kwenye nyanja nyingine kuna utulivu pia; ndoa/familia ikivunjika; madhara yake tunayaona. Tunaishia kuishi kinyume na mpango na kusudi la Mungu; na kilicho nje na mpango wa Mungu; aisee utaona jua litakavyowakaMaisha ya ndoa yana changamoto mno, Jah awe anasimama na wanandoa tyuuh.
Yakolee mara ngapi mdogo etuNdyooooooh.
Weee!!!mpk raha yaani mwanaume wajiskia fahari mnoo kua na huyo mke, hakuna kitu wanaume wanapenda kama maelewanao kati ya mwinga na mama.Kanuni za ndoaBaby mama wangu alinizunguka aisee. Akaenda akamchimbia mama kisima cha maji bila mimi kujua. Na vitu vingine vingi. Sikukuu zote mimi siombwi kitu kumbe ni mwinga wake keshafanya. Yaani walikuwa wanapendana hatari. Mpaka mama akiumwa anatafutwa yeye kwanza na siyo mimi...hata baada ya kutemana naye bado wakabakia kuwa karibu; and this was super awkward to me. Yaani alikuwa anamwona kama binti yake kabisa. Mpaka wengine wakawa wanasema pengine kwa vile mimi ni kitinda mimba basi alikuwa amehamishia upendo huo wa last born kwa huyo binti.
Kwa hiyo naelewa sana shem. Wakikupenda hawa wazee basi wamekupenda na wakikuchukia mtiti wake pia ni shida...Ni lazima pia shem una roho njema, mwenye heshima na upendo. Vinginevyo msingeelewana hivyo. Hongera shem!
🙏🙏🙏God honors marriage ; ndiyo maana hata alifananisha uhusiano wa mke na mume; na uhusiano wa Kristo na Kanisa. Changamoto nyingi sana zinakuja kwa sababu ya kuvunja misingi ya familia. Na shetani since anajua jinsi Mungu anavyoiheshimu ndoa; na zaidi ndoa ni kusudi la Mungu; hatoacha wanandoa waishi kwa amani; changamoto kama zote. Ndoa/familia ikiwa utulivu; utaona hata kwenye nyanja nyingine kuna utulivu pia; ndoa/familia ikivunjika; madhara yake tunayaona. Tunaishia kuishi kinyume na mpango na kusudi la Mungu; na kilicho nje na mpango wa Mungu; aisee utaona jua litakavyowaka
Hehehej nikalale mie
Nimewachekesha inatosha ndugu zangu
You ain't seen nothing yet...
Just wait...na kizazi chenu hiki cha vijana wa hovyo hiki mh!
Asante binaWeee!!!mpk raha yaani mwanaume wajiskia fahari mnoo kua na huyo mke, hakuna kitu wanaume wanapenda kama maelewanao kati ya mwinga na mama.Kanuni za ndoa
Mheshimu mama alokuzalia mumeo maana bila yeye huyo mume usingempata na ni mama yako..
Wasukuma ukiwa sio mnyimi watakupenda sana wape chakula mda woootee yaani hapo utawashika haswaaaa!!!
Maneno maneno madogo madogo nayo sio mazuri yaani hayo ndo chanzo cha vurugu
Kununa Nuna mtoto wa kike nako kwa wasukuma hutakaa asehhm
Maana ni wakarimu mnooo!!!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Ameeeeeennn!yaani Weee kma mdogo wangu mmoja hvi hyo sentence ya mwishooSitapata wa hovyo
Nina hakika
Labda Mungu akiuke agano letu.
Mama malezi bas,God honors marriage ; ndiyo maana hata alifananisha uhusiano wa mke na mume; na uhusiano wa Kristo na Kanisa. Changamoto nyingi sana zinakuja kwa sababu ya kuvunja misingi ya familia. Na shetani since anajua jinsi Mungu anavyoiheshimu ndoa; na zaidi ndoa ni kusudi la Mungu; hatoacha wanandoa waishi kwa amani; changamoto kama zote. Ndoa/familia ikiwa utulivu; utaona hata kwenye nyanja nyingine kuna utulivu pia; ndoa/familia ikivunjika; madhara yake tunayaona. Tunaishia kuishi kinyume na mpango na kusudi la Mungu; na kilicho nje na mpango wa Mungu; aisee utaona jua litakavyowaka
Mwacheni. Ana agano na Mungu wake
NdiyoAmeeeeeennn!yaani Weee kma mdogo wangu mmoja hvi hyo sentence ya mwishoo
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Very okay and am not afraid to say kua nilidovosi siogopi matusi aseehh!wala kutukanwa na siwafichi wanangu!Ni kweli mlongo, now uko poaaah sasa.
🤣🤣 daahh Anna 🙌🙌 unafaa kuwa agentUsiipandishe sasa
Naomba picha jamani kaka mpole ati
DahVery okay and am not afraid to say kua nilidovosi siogopi matusi aseehh!wala kutukanwa na siwafichi wanangu!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Karudi mkoani tena?
Atakuwa OK shemu wala usiwe na wasiwasi...
Maisha ni kuwa na furaha na amani. Ukimpata anayekupa haya mawili basi komaa naye sana mpaka kieleweke. Yamekuwa mambo ya nadra sana hasa siku hizi.
Hapo sawa mlongo, umepiga hatua kubwaa mno.Very okay and am not afraid to say kua nilidovosi siogopi matusi aseehh!wala kutukanwa na siwafichi wanangu!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Binamu unaongeaga kibiblia sanaa!!!kama sio wewe mwenye kishunduGod honors marriage ; ndiyo maana hata alifananisha uhusiano wa mke na mume; na uhusiano wa Kristo na Kanisa. Changamoto nyingi sana zinakuja kwa sababu ya kuvunja misingi ya familia. Na shetani since anajua jinsi Mungu anavyoiheshimu ndoa; na zaidi ndoa ni kusudi la Mungu; hatoacha wanandoa waishi kwa amani; changamoto kama zote. Ndoa/familia ikiwa utulivu; utaona hata kwenye nyanja nyingine kuna utulivu pia; ndoa/familia ikivunjika; madhara yake tunayaona. Tunaishia kuishi kinyume na mpango na kusudi la Mungu; na kilicho nje na mpango wa Mungu; aisee utaona jua litakavyowaka