Unaua cooling system na CPU bro, weka tarikishi mpakato juu ya kitu ka mbao au plastic na sio juu ya godoro au kochi
Ma mdog una eksipiriensi na wanaume wa rombo[emoji102]Zinaua nguvu hizo, utakuwa kama wanaume wa Rombo.
Hahhaaaa na wewe ni mpenzi wa naziwa mgando??? Mie indoor over the weekend nakuwaga nayo karibu lita 5 jumatatu hamna kitu😂😂[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Maziwa tuu mkuu
Si walichafuka nchi nzima, au ulikuwa haujazaliwa son?Ma mdog una eksipiriensi na wanaume wa rombo[emoji102]
Kumbe ndio maana yangu ilikufa[emoji134][emoji134][emoji134]
Inakufaa kabisa, sio kwa utaalamu ule[emoji134]
Sawa Sawa ikipata heat hy,ataimba haleluya
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unakwenda kumjambazia nani mapema yote hii?
Hicho ndo kilevi changuHahhaaaa na wewe ni mpenzi wa naziwa mgando??? Mie indoor over the weekend nakuwaga nayo karibu lita 5 jumatatu hamna kitu[emoji23][emoji23]
Hata mie sielewi kabisaambona uneguna mze mama
Unakwenda kumjambazia nani mapema yote hii?
[emoji848][emoji848][emoji848]Hahah...ile kwaida tu huenda mi muuzaji wa yale makitu
Hahahaaaa nadhani umeelewa sasa nilipojiita "bingwa wa kuziharibu"[emoji23][emoji23]
We umeshindikana.Evolution View attachment 1246490
Mmmmmh!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nalala kidogo jamani
Mbona kile kilevi chako kingine hukisemi?[emoji134][emoji134][emoji134]Hicho ndo kilevi changu
We umeshindikana.
Nimekusoma mkuu.....ila ukweli ni kwamba toka nimeanza kutumia Laptops(miaka 15+) ago karibia zote zinakufa kwa tatizo la feni tu na cpu(thermal breakdown) na tatizo kubwa sumtym ni uvivu tu wa mpk kukitafuta hicho kiwekeo cha chini.....so leo nilivyoweka tu nikajicheka ndo nikasema ngoja nipige picha nitoea somo. Hence hio quote "bingwa wa kuharibu PC".....
Cheers lad...and thank you
Kweli pombe sio chai, hadi unamuita mama yako mwanao[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Njoo basi mwanangu(baby)