Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Eeh pole ,umelezea vyema sana hapa..
Nakumbuka nilipewa hiyo mixture ya mdalasini pia japo sikuitumia sana maana ilikuwa kali .

Naamini umepona kabisa mimi sasa hivi nakula kila kitu wakati nilikuwa nakula wali na mtindi tu .
Mungu ni mwema siku zote .
Yah!nakula kila kitu,labda nisivyokula ni sivipendi mwenyewe tu...
Kipindi naumwa nilikua na miss sana wali maharage,kachumbari na ndizi mbivu.
 
Ukitaka kujua mambo ya Wasukuma nipo hapa shem. Sisi ndiyo wazee wenyewe tulobaki...

By the way, dada yangu wa tatu kuzaliwa naye anaitwa Minza na sisi ni Babinza [emoji123]
Uko vzr aseehhh!!hukatai asili yako na unajivunia fakhari yako big up Sana'a!!mpwa anajua kisukuma kweli hukoo?!![emoji1]
Kwa kweli uko vzr kabisaa!kuna mbalu,buyegi,ng'walu,nchambi!majina ya mashangazi hayoo!!!
Kumbe eminza limetokana na babinza

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Nkutumie?![emoji1][emoji16][emoji23][emoji23][emoji39][emoji39][emoji4][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]gasoline mweehh!!huku bongo hazipooo

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Putin anatukomesha shem. Galoni moja dola 4 na hapa wanauza bei ya jumla. Huko kwa reja reja ni mpaka dola 4.50+ na huu mkweche wangu unakunywa galoni 25. Siyo poa shem ila hakuna namna...

Hapana usinitumie shem. Nitapambana na hali yangu na Boss Lady hana roho mbaya. Siku nyingine tena ataselfika tu. She knows her worth and she is proud [emoji122][emoji122][emoji122]
 
Hebu huko msukuma reymage weka please!!!
 
Putin anatukomesha shem. Galoni moja dola 4 na hapa wanauza bei ya jumla. Huko kwa reja reja ni mpaka dola 4.50+ na huu mkweche wangu unakunywa galoni 25. Siyo poa shem ila hakuna namna...

Hapana usinitumie shem. Nitapambana na hali yangu na Boss Lady hana roho mbaya. Siku nyingine tena ataselfika tu. She knows her worth and she is proud [emoji122][emoji122][emoji122]
Poleni sana tutakoma aseehh!mafuta kupanda bei ni kwio sana!mpk vita iishe ulimi nje tutatoa!!yaani gari inataka kua sio basic needs tena kaahh!

Wala nisingekutumia kwanza nilikua nakutania[emoji23][emoji2][emoji2][emoji2]!!na kwanza sikuichukua mmechelewa

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Zimenipita tatu Boss Lady na mimi ni shabiki yako wa pili hapa. Unaniachaje sasa jamani? [emoji848][emoji848][emoji848]
Kama alivokukuta[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji16]jikaze bhageshii!!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Shindwaaaaa! nawewe si unalo liweke hapa!
Basi tukubaliane hapa kuwa boss ledi huna kitambiii[emoji7][emoji7][emoji7]
Tangu selfika imeanza sijaona pisi kali kama boss ledi[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
We nae,una tumbo weweee!!!mfyyyyyu!!!unatunafkia eehhh!!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Boss ledi pia hana japo anasema analo
Sasa nilitaka aweke ili wenzangu mnisaidie ,tumwambie boss ledi ukweli kuwa ana flat tummy
Na hapo ana watoto?tumbo dogo hadi raha[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji7][emoji7][emoji7]
 
Basi tukubaliane hapa kuwa boss ledi huna kitambiii[emoji7][emoji7][emoji7]
Tangu selfika imeanza sijaona pisi kali kama boss ledi[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Haya zamu yako
 
Back
Top Bottom