Hatutaki mambo ya dini hapa, umeshaanza sifa zako, sijui ukoje.Hiyo aya ya pili
Ndio unafiq[emoji848]
Lutu aligeuka jiwe la chumvi
Kwa kuangalia tu ule mji
Ukiteketezwa
Sembuse waliotenda [emoji849][emoji848]
Unafiq upo wapi hapo
Achana nae huyoooh,Eti haoni[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee leta uchizi wako tyuuh, utakutana na kichaa.Mngoni unalipa bhana
Bado nazifanyia tathmini
Hizo picha
Halafu nashusha mrejesho[emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inakua anajua hajui, hebu tuwe wapoleee.
Hahahah, iv unajua nimecheka sana hapa?
Sijui jina lake rafikiHuu mshono
Unaitwaje[emoji848]
Nataka niutume china
Waka paste
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo umenifanya nimecheka kwa nguvu mnoo wallah, nilivowaza unachocheka sasa, mie hoi mbavu cna, humu ndani kuna vituko sana. Hahahahah.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pombe hakuna mahali imekatazwaEti haoni[emoji23]
Ngoja niondoke ili usicheke[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo umenifanya nimecheka kwa nguvu mnoo wallah, nilivowaza unachocheka sasa, mie hoi mbavu cna, humu ndani kuna vituko sana. Hahahahah.
Aaaaah wapi wee, wapo humu vyuma na vyombo hatareee sana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha noma
Ila upo vizuri shosti .. unastahili sifa anazokupa
Umeshinda.Pombe hakuna mahali imekatazwa
Tena ikasemwa tunywe kwa kiasi
Umalaya[emoji1787]
Waliambiwa aliye mwema awe wa kwanza kumpiga jiwe hakuna aliyethubutu
Ndio maana halua haina makombo
Mavazi yameelezewa vizuri kwenye wimbo ulio bora
Hakuna la ajabu hapo
Huo unaousema unafiq ndio kabisaa
Sodoma na Gomora zilipigwa kiberiti
Ushoga noma haufai
Umewafunika[emoji39]Aaaaah wapi wee, wapo humu vyuma na vyombo hatareee sana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu niache na selfie 1 matata.Ngoja niondoke ili usicheke[emoji16]
Hutaki ku download shekeli ππMie ni ndugu mtazamaji tu ππ
Basi umeshinda, haya relaaaax sasa wee mzee.Pombe hakuna mahali imekatazwa
Tena ikasemwa tunywe kwa kiasi
Umalaya[emoji1787]
Waliambiwa aliye mwema awe wa kwanza kumpiga jiwe hakuna aliyethubutu
Ndio maana halua haina makombo
Mavazi yameelezewa vizuri kwenye wimbo ulio bora
Hakuna la ajabu hapo
Huo unaousema unafiq ndio kabisaa
Sodoma na Gomora zilipigwa kiberiti
Ushoga noma haufai
Cc sweta hilo mbna km zuri hivi, hebu lioneshe kwa uwazi. [emoji7][emoji7][emoji7]Old moments[emoji3590]
Simara uwe unakula hii mboga laini kwa afya ya utumbo wako .
Majani ya magimbi.View attachment 2155284
Elewa nipo kwenye tathminiBasi umeshinda, haya relaaaax sasa wee mzee.
Hatutaki sahivi, kila mtu msalaba wake atabeba mwenyewe.
Na atakayehukumu n m1 tyuuh, ko tuwe wapole itafahamika hiyo siku.